Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

ha ha ha kweli kuna baadhi ya mambo yananifanya niwakubali sana watanzania!!.....its serious, hakuna haja kabisa ya kuweka issue nyeti kama hiyo mitandaoni
 
Umetishwa na nani? Do you think jamiiforums is worthier than preserving some norms of each institution? Keep on knowing that jf is merely a social network, never expect to achieve confidential issues as you intended, rather you will receive some tiny drops of opinions related to your doubt or request....

You still having no ideas on this, and I bet you won't ever know, your problem is keeping yourself as special person who have the right of being informed each structure of a respective institution,
Know that you have got some limitations of your rights, on which obedience is a key object, don't think that you're too deserved...

For your such ideas we are slowly leaving behind our defence and intelligence capabilities for the reason of your rights!!!
Most Tanzanians are not good at English (including our president), thou, its better you use our beloved national language which can be understood by each and everybody.
Apart from that, I request you to be polite not the way you appear as an arrogant simply because you know nobody here.
We use fake IDs and the like.
Back to the point, you're still young in argument, be reader you will develop your low thinking capacity.
 
Wewe tunakujua sana, ni shabiki mzuri wa chadema/ukawa na kile kikosi chenu cha red brigade, pia ndio wewe uliyetaka kujua ulichouliza japo umetumia I'd tofauti, sijui una ajenda gani na mpango wako huo wa kuulizia mishahara ya wanajeshi wetu?
MISHAHARA ya wanajeshi tena? si ulisema wanajeshi hawana mishahara....kwamba WANAJITOLEA? humu jf kumbe kuna miKITWANGA mingi sana!
 
dad was a soldier, told me dat, alafu hawalipwi na serikali ila wananch dats y jw, oooky? your dad was a....
You don't know your dady exactly.
You were cared by single parent (mother) and your grandma.
You know nobody, but we know you.
Your mother's village is Minazi located at Bukoba rural.
Source: Facebook
 
We jamaa chakula nini kazi ya Jeshi ni wito kana unataka mshahara tafuta kazi zingine mbona zipo nyingi tu na mishahara yao minono. We unamjua aliyeuliza ni nani na ana lengo gani sio kila kitu ulete ubishi wa siasa sasa wewe kama unajua sema.
kujua mshahara wa mwanajeshi kunahatarishaje usalama wa nchi?
 
Watanzania, na hasa wa upande Fulani was siasa nchini mwetu, wanaona sawa kuanika siri za nchi...Tanzania tuko hatarini kiusalama kwa tabia ya aina hii ambayo imeanza kujengeka nchini...
MSHAHARA ni SIRI YA NCHI? uko vizuri kweli au kichwani mwako kuna tatizo?
 
Hapa upo sahihi unaweza kuta adui anataka amkadilie askari amnunue vip....so kwanza ajue jamaa anafaidikaje na analopewa na nchi...

Hapa bongo adui anaweza kupata taarifa anazo zitaka kwa urahisi sana, kwenye social media watu wanataka funguka kila kitu kuhusu nchi??
kwani mishahara ya wanajeshi mbona inaptia BENKI na kila teller anaifahamu? SIRI unayosema wewe iko wapi? MLEVI mkubwa!
 
Kati ya taasisi ambazo naona hazina umuhimu duniani ni majeshi maana hayajengi chochote tofauti na kuharibu na kuifanya dunia kuwa sehemu ya hovyo tena la tanzania ndio kabisa bora lifutwe maana hata zana wanatumia technologia za majeshi mengine kama huyo aliyekuuzia ww silaha na technologia ndio adui wako utawezaje kupigana naye
Hongera kwa kujieleza
 
Ivi unafikiri watu wangapi wanapitia humu? Na je wote ni wema kwa taifa? Kingine ujue adui yako anahitaji taarifa ndogo sana kutoka kwako hivyo hakuna siri ndogo wala kubwa.
kama taarifa za JESHI ni siri mbona wanajeshi huwa WANAONYESHA VIFARU na KUPASAUA matofali hadharani? unajua maana ya SIRI wewe au unakariri tu? hv huko shuleni mnaenda kusomea ujinga?
 
Ni kazi ya wito tu hakuna anaelipwa... Mzalendo wa kwanza kwa taifa Lake ni MWANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI...
mkuu, uko BIA ya ngapi sasa? nadhani sasa ni wakati wa kurejea nyumbani kwako usije ukapotea njia ukavunjiwa mayai bure!
 
Back
Top Bottom