Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.

Uko maeneo gani mkuu?nakushauri nenda kambi yoyote ya jeshi iliyo karibu nawe utapata majibu murua kabisa!
 
Jamani jeshi sio kazi,ile ni shughuli hakuna Tucta kule....ni kushughulika kwa ajili ya Taifa lako katika hali yoyote sio kufikiria mshahara tu.....Jeshi ni zaidi ya mshahara....
 
Duuuh wanajeshi si watuu ni wanyama walee
Hapa nahisi yafuatayo...
1. Ulingia anga zao ukafanya kosa ukategemea utachekewa, ila ukakutana na kibano.

Au

2. Umekuwa looser ukatoswa na umpendae , kuja kugundua reason mjeda.

N.B Binadamu wote ni wanyama ila kama unamaanisha unyama kuw hawana utu si kweli, maan kipindi ulicho lala wew wenzako wapo mipakani wanalind adui asiingie ndani.

Wajeda daily wanashnda na bunduki ausikiii wameenda kuwafata adui zao nyumban kwao na kwenda kuua lakin nyie mlio mtaani mna panga tu au kisu lakini mnacharangana. Nani katili hapo..

Usikariri
 
Milumbumba ni mingi sana hapa jf ndio maana imekosa mvuto. Jf ya zamani watu walijenga hoja sana. Sasa kwanini mtu asiulize mshahara ambayo ni maslahi ya kila mtz?
 
Hapa nahisi yafuatayo...
1. Ulingia anga zao ukafanya kosa ukategemea utachekewa, ila ukakutana na kibano.

Au

2. Umekuwa looser ukatoswa na umpendae , kuja kugundua reason mjeda.

N.B Binadamu wote ni wanyama ila kama unamaanisha unyama kuw hawana utu si kweli, maan kipindi ulicho lala wew wenzako wapo mipakani wanalind adui asiingie ndani.

Wajeda daily wanashnda na bunduki ausikiii wameenda kuwafata adui zao nyumban kwao na kwenda kuua lakin nyie mlio mtaani mna panga tu au kisu lakini mnacharangana. Nani katili hapo..

Usikariri
Kila mtu anakushangaa ulichoandika hapa, kwendraaaaa
 
swali la mtoa mada ni zuri na linajadilika. maoni yangu: nadhani si vzr kuweka hadharani mshahara wa mtu. kusu mshahara wao ni vema atafute mwanajeshi anayemjua atamjibu. kuulizia mshahara kabla hujaajiriwa kwenye kazi yoyote ni muhimu. ila ninachojua jeahi letu wanalipa vzr.
 
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
hao wadogo zako waambie kbla ya kuwaza mshahara wajitafakari kama wana spirit ya kua wanajeshi uanajeshi ni zaid ya mshahara waambie wape ujumbe huu...... "No pain shall.make us cry.soldiers we were born and we shall die.we live by chance,love by choice and kill by professional.we miss home bcoz we save homes......" THINK BIG.
 
1. Posho ya mbunge.
2. mshahara wa rais.
3. mshahara wa mkurugenz wa NHC...

sasa raia wanataka wajue mshahara wa mwanajeshi....

baadae... TISS, TRA, Mawaziri na Wakurugenzi(tamisemi), mabalozi, wakuu wa mikoa na wilaya...
Mkuuu nna kreti lako la bia, umewapa za uso mbaya, asante sana
 
80000,
Hilo ni jeshi la kanywari security guard group la Tanzania
 
Mimi sijui ila wapo poa wanaoocha jeshi Kwenda kutafuta ajira zenye masilahi zaidi
 
Mshahara tena kwa idara nyeti kama hii unaulizia mitandaoni???cha kushangaza zaidi unadai ni pesa ya kodi zenu hata kama ni kodi zenu huna mandate ya kujua mshahara wa wafanyakazi kwa sababu ni siri
Na kiusalama hutakiwi kujua na imezuiliwa
 
Hivi wewe mbna huna kauli nzuri? Kusema kuwa wewe ni mbabe sana au malezi uliyolelewa? Umeshaelekezwa vizuri kuhusu jambo hili kwa nn unaharasi watu kam wewe ndo umeuliza hili swali? Jifunze kuw mpole na mwenye kushinda jazba, zitakugharimu siku za usoni
Naona umejipanga kuja kututishia huku, pole yako
 
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
We jamaa chakula nini kazi ya Jeshi ni wito kana unataka mshahara tafuta kazi zingine mbona zipo nyingi tu na mishahara yao minono. We unamjua aliyeuliza ni nani na ana lengo gani sio kila kitu ulete ubishi wa siasa sasa wewe kama unajua sema.
 
Back
Top Bottom