Kiuhalisia na maisha yalivyo sasa uhai wa mtu hauna thamani kwa pesa,tatizo unaleta injili kwa jambo lisilohitaji injili,sema ukweli katika Dunia uishiyo.Hivi wew thaman ya uhai wa mtu unaweza linganishwa na kiasi cha pesa??
Khaa..! Siwez endelea kubishana zaid, kama pesa inazidi thamani ya uhai wako.Kiuhalisia na maisha yalivyo sasa uhai wa mtu hauna thamani kwa pesa,tatizo unaleta injili kwa jambo lisilohitaji injili,sema ukweli katika Dunia uishiyo.
Ingekuwa pesa haizidi uhai wa mtu,watu wasingekuwa wakitolewa uhai kisa pesa,mtu yeyote akihitaji kumtoa mtu uhai anaweza akamtoa,sababu tu ni pesaKhaa..! Siwez endelea kubishana zaid, kama pesa inazidi thamani ya uhai wako.
Huelewi hoja iliyopoIngekuwa pesa haizidi uhai wa mtu,watu wasingekuwa wakitolewa uhai kisa pesa,mtu yeyote akihitaji kumtoa mtu uhai anaweza akamtoa,sababu tu ni pesa
Wewe tunakujua sana, ni shabiki mzuri wa chadema/ukawa na kile kikosi chenu cha red brigade, pia ndio wewe uliyetaka kujua ulichouliza japo umetumia I'd tofauti, sijui una ajenda gani na mpango wako huo wa kuulizia mishahara ya wanajeshi wetu?wewe mpuuzi nini? humu jf kuna wanajeshi na tayari wameishmuambia PM...wewe shida yako ni nini? kama hujui jambo kaa kimya kuliko kuonyesha upumbaFU wako hadharani. wewe ulitaka akaulize wapi? acha upuuzi wako.
wewe kinakuuma nini? wakiuliza mshahara wako utapungua? mpuuzi mkubwa!
wewe mwambie mshahara...kama hujui kaa kimya...kushindwa kwake jeshi hakukuhusu.
Labda wale wenzako wa sare ya kaki.Si utafute demu mjeda tu.
Mpige bia za ofa akichakaa atataja.
Mtm anapenda bia sana.Labda wale wenzako wa sare ya kaki.
Alitoa njia mbili za kumjibu kupitia PM na hapa jamvini kama hapa jibu halijatoka lipo PMMbona sioni jibu kulingana na swali la mleta mada...naona porojo tu sizokuwa na msingi..kama huna jibu kaa kimya
Mishahara ya jeshi huwa haitangazwi. Hata wafanyakazi wengine wa serikalini wanapopandishiwa mishahara huwezi sikia mishahara ya wanajeshi ikiwekwa wazi. Ni confidencial..Mbona mishahara ya kada nyingine kama walimu unaianika hapa?
Huo ni mfano hai,kukuonesha ni ni namna gan,fedha ilivyo na thamani,kwa hiyo hata Wajeda wanafuata pesaHuelewi hoja iliyopo
Kweli mkuuWatanzania tumejaa unafiki, Woga na Ujinga sana.
Mleta mada amekuja na Swali zuri sana, tena lina faida kwa watu wengi, ila kuna watu badala ya kujibu wameishia kumtukana, kumbeza na kumsimanga. Hii si sawa kabisa.
Mshahara sio jambo la siri, ni jambo la wazi kabisa, kwa sababu unapaswa kukatwa Kodi, Una viwango vyake, Unajadilika, Unahojika nk.
Ni ukweli ulio wazi kabisa, katika zama hizi ambazo ajira ni Tatizo kubwa sana na pia ugumu wa maisha unaumiza watu wengi, suala la kusaka ajira popote pale na Suala la kujua kiwango cha malipo ya mshahara kabla ya kuajiriwa, ni mambo ambayo huwezi kuyakwepa na ni lazima yajadiliwe wazi wazi tena kwa mapana.
Zile hadithi za Kale za Uzalendo, Wito, Kujitolea nk hazipo tena katika zama hizi. Huo ndio ukweli wenyewe.