King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,988
- 98,127
Hahahaa du kumbe samuya kashawafanyia mambo mapema sana ,imekaa njema.Bro King Kong III kitufe kilishabonyezwa huna mdeni wako humu? 😉
Sina mdeni mwananchi.
Hahahaa du kumbe samuya kashawafanyia mambo mapema sana ,imekaa njema.Bro King Kong III kitufe kilishabonyezwa huna mdeni wako humu? 😉
NMB tangu wamerekebisha mfumo wao.. mambo yamekua ovyo.. Hii Salary advance itakula kwetu kipindi hikiKila mtu analalamikia hii ishu
Kusema kweli wajitatjimi ila unaweza vuta mshiko faster mkuuNMB tangu wamerekebisha mfumo wao.. mambo yamekua ovyo.. Hii Salary advance itakula kwetu kipindi hiki
😅🤣🤣 hamna chochote mkuuDUBULIHASA naona ulipewa posho mlima 8/8 kiasi hata ukumbuki tarehe zimefika.
Labda tamisemi😂, alaf wengine wanakopa kufucha tu baadh ya mambo ya kuhijiana mwanaharam apite. Kuna watumishi waumma ambao anaingiza allowance na pesa za safar kwa mwezi more than 6M. Kunabaadh ya taasisi mtumishi ana gari la 80M sio kama kashindwa kununua cash hapana ila jdjdhdjdjdjdjdbdjdjdjgdhshdfuejakkaia 😂 so acha kukariri ww sema waalimu tena wa vijjn usiseme watumishiWatumishi wengi wanafeli kwenye hii stage.
1. Anakopa mkopo anaenda kununua gari 🚮🚮🚮
2. Anakopa mkopo anaazisha biashara 🚮🚮 🚮
3. Anakopa mkopo anaenda kujenga 🚮🚮 🚮
4. Kukosa elimu ya fedha.
5. No saving ( mda wote hana hela)
Tamisemi na Walimu mnatuchukuliaje Wakuu😭Labda tamisemi😂, alaf wengine wanakopa kufucha tu baadh ya mambo ya kuhijiana mwanaharam apite. Kuna watumishi waumma ambao anaingiza allowance na pesa za safar kwa mwezi more than 6M. Kunabaadh ya taasisi mtumishi ana gari la 80M sio kama kashindwa kununua cash hapana ila jdjdhdjdjdjdjdbdjdjdjgdhshdfuejakkaia 😂 so acha kukariri ww sema waalimu tena wa vijjn usiseme watumishi
Sasa tamisemi ukiachana na basic salary ya tgs na tgts kuna nn kingine? Utajilinganisha na mtu anayepata meal allowance na risk allowance? Hapo bado hajasafiriTamisemi na Walimu mnatuchukuliaje Wakuu😭
Tamisemi mwenye unafuu ni mkurugenzi tu, 😂😂😂.Labda tamisemi😂, alaf wengine wanakopa kufucha tu baadh ya mambo ya kuhijiana mwanaharam apite. Kuna watumishi waumma ambao anaingiza allowance na pesa za safar kwa mwezi more than 6M. Kunabaadh ya taasisi mtumishi ana gari la 80M sio kama kashindwa kununua cash hapana ila jdjdhdjdjdjdjdbdjdjdjgdhshdfuejakkaia 😂 so acha kukariri ww sema waalimu tena wa vijjn usiseme watumishi
Tamisemi tunabagazwa sana Basi tuTamisemi mwenye unafuu ni mkurugenzi tu, 😂😂😂.
Mbona mapema sana mpaka ifike trh 22 siutakuwa unajiongelesha mwenyew?Wangu umeisha, alafu leo tarehe 2, sijui nitaishije?
Katika watumishi wote wa umma 800k wanaopata mambo haya hawafiki 10k tena hawa ni wakuu wa vitengo sehemu mbalimalbali na mashirika makubwa ya kitapel machache ambao wafanyakazi wao wote hawazid 500Labda tamisemi😂, alaf wengine wanakopa kufucha tu baadh ya mambo ya kuhijiana mwanaharam apite. Kuna watumishi waumma ambao anaingiza allowance na pesa za safar kwa mwezi more than 6M. Kunabaadh ya taasisi mtumishi ana gari la 80M sio kama kashindwa kununua cash hapana ila jdjdhdjdjdjdjdbdjdjdjgdhshdfuejakkaia 😂 so acha kukariri ww sema waalimu tena wa vijjn usiseme watumishi
Kwani mshahara wa September tayari? Mi mshahara wa August unaisha kabla August haijaisha. Sahivi nasubiri nipewe wa SeptemberWangu umeisha, alafu leo tarehe 2, sijui nitaishije?
Dah😄Wazee hamjaona chochote huko 😅
Mshahara? 😁😁 Au extra dutyWazee hamjaona chochote huko 😅
🤣🤣🤣Mshahara? 😁😁 Au extra duty