Nlupc wana allowance za kutosha? Au ni kunitegemea mshahara posho za field?Wizara scale ya salary n sawa na maafisa ardhi wa tamisemi tofauti ni posho nenda NLUPC
Wapo vizuriNlupc wana allowance za kutosha? Au ni kunitegemea mshahara posho za field?
😅😅😅😅😅HIZI NDIO tarehe za mwisho mwisho nakunywa Bia hapa Wakuu hadi Tarehe 23 aiseeh
KUna kahela niliona kameambatana na ule ujumbe wa unaweza kukopa hadi milioni 10😀Posho tayari sisi tpdf
Nimeona sio mbaya nikale Bia zangu kadhaa afu nakuw mpole hadi tarehe 23 hapa katikati nakuwa nasingizia mambo mengi sana😅😅😅😅😅
😀😀Uzi ufutwe futwe vumbi kidogo