Kweli nilidhani peke yanguNmb Leo salary advance wamegoma
Kweli nilidhani peke yanguNmb Leo salary advance wamegoma
swali halielewekikuhama benki ya crdb kupokelea mshaara taratibu zipoje
Na wewe holla??kuhama benki ya crdb kupokelea mshaara taratibu zipoje
Unafika kwa HR wako unamoatia Account number ya bank unayotaka kuhamiakuhama benki ya crdb kupokelea mshaara taratibu zipoje
Na wewe holla?Hata mimi nataka kuhama
Jinsi ya kuhama benki uliyokuwa ukipokelea mshahara awali na kwenda benki nyingine,amekuuliza taratibu zipoje?swali halieleweki
HollaaNa wewe holla?
Dah umenitangulia kuuliza wajuzi tupeni taratibu watu tufanye maamuzikuhama benki ya crdb kupokelea mshaara taratibu zipoje
Wanazingua sana NMBWakuu kuna Dalili Salary imeshaingia hasa kwa NMB ila shida SMS hazifiki kwa wakati au haziji kabisa
Naona wadau wengi wanalalamika toka Ukarabati/uboreshaji wao hapo juzi kati kwasasa unaweza Weka Pesa hata sms haiji hadi ucheck salioWanazingua sana NMB
Aaah CRDB inaingia kwa mafunguHuyo jamaa ni Mhuni tu huyo
Humjui jamaa. Hasemagi uwongo hapa pia habishani na message kama hii yako. Nadhani mishahara inaingia kwa mafungu/taasisi. Tunaweza kuwa crdb wote tukapata muda tofautiHuyo jamaa ni Mhuni tu huyo