Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wazee wa kukingaa mnasumbua sana halafu mpaka tarehe 10 hamna kitu waalimu muwe makini stress za mishahara kuisha haraka msije kuchapa watoto na kuwasababaishia vifo

Screenshot_20260822-065332~2.jpg
 
Back
Top Bottom