Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

maisha ya paychek to paycheck yanatia matumaini kwamba angalau kupitia D 2 zako kuna watu wameona unastahili kulipwa chochote kitu hata kama ni kiduchu ila kinasaidia kusogeza siku kadhaa mbele.
Wewe unafanya nini kwenye huu uzi.

Matajiri wenzio wako imstagram wanapiga uwinga.
 
Back
Top Bottom