Kipindi unafanya kazi ulikuwa haujitegemei mkuu?? Ulikua kwa wazazi auNdio maana niliachaga Kazi nikaamua kujitegemea, huu ujinga WA ajira sio
Umeelewa nilichoandika? au stress za kusubiri kamshahara zinakusumbuaKipindi unafanya kazi ulikuwa haujitegemei mkuu?? Ulikua kwa wazazi au
Kwani huwezi kujitegemea huku una ajira au tunakaririshwa san mkuuNdio maana niliachaga Kazi nikaamua kujitegemea, huu ujinga WA ajira sio
Ajira ni ulofa, huku niliko nafanya consulatancy napata hela kiukweli siwezi kubaki kwenye kuajiriwaKwani huwezi kujitegemea huku una ajira au tunakaririshwa san mkuu
Sasa kinakuuma nini watu kusubiri mishahara yaoAjira ni ulofa, huku niliko nafanya consulatancy napata hela kiukweli siwezi kubaki kwenye kuajiriwa
Mkuu hongera, Endelea tu maisha hatufanani, kuna watu wameajiriwa ila wamefanikiwa kuliko wewe, shukuru Mungu tu kwa kila jambo haina haja ya kukashifu walioajiriwa.Ajira ni ulofa, huku niliko nafanya consulatancy napata hela kiukweli siwezi kubaki kwenye kuajiriwa
😂😂😂😂😂Sasa kinakuuma nini watu kusubiri mishahara yao
Kama uliacha, wewe kwenye Uzi wetu unatafuta Nini..? mbona una mambo ya kinafiki.Ndio maana niliachaga Kazi nikaamua kujitegemea, huu ujinga WA ajira sio
Ushambenga tu consultancy yenyewe pesa sio ya kusubiriwa? Au akipiga Moja ni mshindoKama uliacha, wewe kwenye Uzi wetu unatafuta Nini..? mbona una mambo ya kinafiki.
Au umekuja kujitangaza na kuturingishia kuwa umeacha kazi na maisha yanakwenda vizuri..
Ni kweli ajira ni ulofa kwa mtazamo wako, nipo ajirani sijisifii na ni ushamba kusema hivi ila potele mbali lakini mkuu nakuhakikishia huna hela kunizidi.Ajira ni ulofa, huku niliko nafanya consulatancy napata hela kiukweli siwezi kubaki kwenye kuajiriwa
PIga spana mzee baba, mwaga moto kama dragonNi kweli ajira ni ulofa kwa mtazamo wako, nipo ajirani sijisifii na ni ushamba kusema hivi ila potele mbali lakini mkuu nakuhakikishia huna hela kunizidi.
Hawa jamaa wakiona tupo kwenye huu Uzi wanatuona kama tumepoteza uelekeo wa maisha na wao ndo wameyapatia. Hawafikirii kama humu tunajadili kilicho chetu, jasho letu halali kabisa na tunaenjoy tukikutana family kama hivi tunaongea lugha moja. WanaudhiPIga spana mzee baba, mwaga moto kama dragon