UTATUUA KWA MASIMANGOZimebaki buku 30
Ngoja wajeUFUFUO wa uzi umefika
nadhani hili swali ungalimuuliza boss wako ndo ana majibu..Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Ww si unategemea rushwaKutegemea mshahara ni kazi sana
We unategemea nini?Kutegemea mshahara ni kazi sana
😁😁We unategemea nini?
Itakuwa rushwaWe unategemea nini?
PANDAGICHIZA nimeisoma sana nikiwa DidiaWe unategemea nini?
Miaka 5 mkuu.Hivi wakuu ,kupanda madaraja huwa ni miaka mingapi ukijumlisha na ule mwaka wa probation???, ma-HR na wengineo naombeni mwelekezo
Watumishi wengi wanafeli kwenye hii stage.Ukifuatilia nchi nyingi za Affika, mishahara yetu siyo mibaya.
Labda tunakosa viposho kidogo, na nyumba za kuishi za watumishi.
Lakini pia tuna matumizi mabaya, tunakopa mnooooooo tena kwa WAHUNI.
Embu tuache kwanza 😀Watumishi wengi wanafeli kwenye hii stage.
1. Anakopa mkopo anaenda kununua gari 🚮🚮🚮
2. Anakopa mkopo anaazisha biashara 🚮🚮 🚮
3. Anakopa mkopo anaenda kujenga 🚮🚮 🚮
4. Kukosa elimu ya fedha.
5. No saving ( mda wote hana hela)
MKUU kwa Take home ya 439k utajenga lini!??Watumishi wengi wanafeli kwenye hii stage.
1. Anakopa mkopo anaenda kununua gari 🚮🚮🚮
2. Anakopa mkopo anaazisha biashara 🚮🚮 🚮
3. Anakopa mkopo anaenda kujenga 🚮🚮 🚮
4. Kukosa elimu ya fedha.
5. No saving ( mda wote hana hela)