Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Raha sio rahaaaa. Kina Bashite, Mchengerwa, Abdul, Mombo , Nkunda nk wanamabilioni kwenye accounts, majumba Dubai na duniani nyie malofa mnalia njaa😂😂
 
Daah! 🤣
Samahani kwa kutumia lugha ngumu ,ukitumia lugha ngumu yenye ukweli na inayokera huwa inaeleweka na kukaa akilini vizuri.

Mwananchi mwenzangu hata mimi nilipitia hiyo hali ya kutegemea salary ila nikajiongeza kupata kipato nje ya mshahara ikanisaidia sana ,sasa hawa WEHU ukiwaambia kwamba watafute other source wanaanza kuleta MATUSI.
 
Pumbavu.

Mazamwamwa kama nyie ndio WAPIGA MIZINGA na OMBA OMBA Maarufu sana MITAANI.

Kaa mbali na mimi.
Hahaha wewe ndiyo una hasira kama zote kwasababu ya mshahara kuchelewesha ,mimi account inasoma vizuri tu SHEHE ,sipigi mizinga mkuu ,nina mpango wa kuanza kukopesha wafanyakazi kuanzia tarehe 18 ,nakupa laki unarudisha laki na 10 ukipokea mshahara.
 
Back
Top Bottom