Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Screenshot_20260723-151008.png
 
Daraja Zuri kivipi na je hadi unataka kuhama si lazima Kwanza uongee na mwajiri mpya
Ipo hivi mtu anaweza kuhamia sehemu kwa ushirikiano alioupata kwa watumishi wa kati. Unaweza kuongea na HR tu yeye akapitisha mibarua yako huku boss mkuu HAJUI.
Huyu boss mkuu akiwa na stress siku unahamia anaku🔥.
Wengine huonga utumishi na kupata uhamisho direct huko mbele kikiwaka poa , kikitiki poa
 
Back
Top Bottom