Account inasoma vizuri, hapa unafanya nini?Hahaha wewe ndiyo una hasira kama zote kwasababu ya mshahara kuchelewesha ,mimi account inasoma vizuri tu SHEHE ,sipigi mizinga mkuu ,nina mpango wa kuanza kukopesha wafanyakazi kuanzia tarehe 18 ,nakupa laki unarudisha laki na 10 ukipokea mshahara.