Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Naomba kuuliza Technician alie ajiriwa wizarani na yule wa halmashauri wanalipwa bei gani?
Kwa muundo wa utumishi sasa technician ni mwenye Diploma au Equivalent.
Kwenye mashirika technician anakunja kutegemea na shirika.
Kwahiyo jitahidi kuchagua shirika zuri. Njaa zisikupelekeshe tu ukajikuta umeajiriwa lakini unaishi kama mvuvi.
Wizarani unadhani kuna maajabu!
Kule labda posho kama ukiwa wizara nzuri utafurahi. Ukiwa wizara kichaa utajuta
 
Kuna muda mwanangu upo vizuri sana kichwani ila kuna muda ukianza mambo ya sisiem unakua unaboa
 
Back
Top Bottom