Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mimi naingia humj nategema nisikie Mzigo tayari nisogee Kwa shayo humu mnabishana tu Taasisi ipi inalipa vizuri sijui na Posho za nini


Kuna jamaa humu umetaja Posho Ya Mawasiliano ndii Take home yangu nimeumia sana basi tu
Muda wa story
 
Mshahara ni kama madawa ya kulevya ambayo mwajiri anampa mwajiriwa ili aendelee kumtumikia.
 
Back
Top Bottom