Bado aisee vp.ukoUko tayari?
Bado aisee vp.ukoUko tayari?
bila bilaBado aisee vp.uko
Huwezi kuongezwa hata mia hadi utakapothibitishwaSina papara, ila nilihitaji kujua tu.
Daahbila bila
Jamani 😁Nile maharage mi mfungwa?
Pole mkuu 😁Mnaofanya kazi Hazina mnazingua sana. Niliishiwa hadi bando aisee.
Hapo hana HESLBHuyu mwanetu kweli au AI?View attachment 3614185
Nimeikuta mitandaoni huko
Hapo hana Hmikopo ya makato madogo madogo hvyo na ya muda mrefu hua inaumiza sana aisee, mimi hua najilipua makato heavy 1-2 years nimemaliza then nakandamiza tena
Nijuavyo mimi posho za mwezi wa sita ndio hizo zinalipwa mwezi wa saba pale katikati, baada ya hapo ndio mwaka unakuwa umefungwa. Za mwezi wa saba (mwaka mpya) zinalipwa wa naneWakuu hakuna wakunijibu hili swali langu Kabisa?
Stahiki yako ni mshahara ambao upo kwenye mkataba wako wa kazi pamoja na pesa ya kujikimu ndugu yangu. Hizo zingine ukipata unashukuru ukikosa unaugulia chinichini 😁Sio kwamba Nina tamaa, hizo posho nimezipata tangu nimeajiriwa mwezi wa tatu mpaka Sasa.
Nilitaka kujua tu Kwa mwezi wa saba pia zipo au hazipo kwasababu ni mwaka mpya wa fedha.
Ni pesa ambazo ni stahiki zangu na Haki yangu Wala sio kwamba natamani
Hapo nimekuelewa, pia nilisikia huenda wakalipa mwezi wa sita mwishoni then mwezi wa saba wasilipe posho kabisa katikati ya mwezi.Nijuavyo mimi posho za mwezi wa sita ndio hizo zinalipwa mwezi wa saba pale katikati, baada ya hapo ndio mwaka unakuwa umefungwa. Za mwezi wa saba (mwaka mpya) zinalipwa wa nane
Mpaka nimetimiza miezi mitatu sijawahi kukosa, kwahiyo ni lazima nijue.Stahiki yako ni mshahara ambao upo kwenye mkataba wako wa kazi pamoja na pesa ya kujikimu ndugu yangu. Hizo zingine ukipata unashukuru ukikosa unaugulia chinichini 😁
Najua mshahara sitaongezwa, lakini posho napata kama kawaida, na posho zote Kwa ujumla zinazidi mshahara.Huwezi kuongezwa hata mia hadi utakapothibitishwa
Ila hapo ulipo si kuna wafanyakazi wenzio? Hao ndio wana majibu sahihi zaidi maana watakujibu kulingana na uzoefu wa miaka iliyopitaHapo nimekuelewa, pia nilisikia huenda wakalipa mwezi wa sita mwishoni then mwezi wa saba wasilipe posho kabisa katikati ya mwezi.
Na unaweza usikose hata huko mbele unakoendelea ila ndio hivyo, hizo ni motisha tu kitu ipo siku unaweza kuambiwa bajeti haitoshiMpaka nimetimiza miezi mitatu sijawahi kukosa, kwahiyo ni lazima nijue.
SiaminiJamani bado wa CRDB tunakufa njaa
Kwanini?Siamini
Huyo ni Mwlaimu na kapanda Daraja moja yupo E1Huyu sijui ni mwalimu au yupo kwenye sekta ya elimu, mbona ana mikopo mingi sana.
Si