Pata?Crdb huu mwezi wanataka niishi vp?
Unakuja ...mim ulivyoingia tu nikawa nimepotea kwanza kwenda kula vzrCrdb sijapata pekee yangu au
hahahhh ukweli kabisa aiseeKwa vichwa hivi vya wabongo crdb wajipange kukimbiwa na baadhi ya watumishi
Wakuu hakuna wakunijibu hili swali langu Kabisa?Wakuu, hivi mwezi wa saba sindiyo mwaka mpya wa fedha? Sasa naomba kuuliza kama katikati ya mwezi huo posho zipo kama kawaida? Namaanisha extra duty, chakula na posho nyinginezo?
NB: Mimi ni ajira mpya
Bado na sio kawaida,Na ww huja
Pata?
hahahahhahahaMshahara utafika kweli uko kaka? Jumamos mbali
Kama ni ajira mpyaWakuu, hivi mwezi wa saba sindiyo mwaka mpya wa fedha? Sasa naomba kuuliza kama katikati ya mwezi huo posho zipo kama kawaida? Namaanisha extra duty, chakula na posho nyinginezo?
NB: Mimi ni ajira mpya
Ni kweli.Huyu mwanetu kweli au AI?View attachment 3614185
Nimeikuta mitandaoni huko
Sio kwamba Nina tamaa, hizo posho nimezipata tangu nimeajiriwa mwezi wa tatu mpaka Sasa.Kama ni ajira mpya
Nataka nikukumbushe uzingatie mambo ya msingi yaliyo kwenye JD yako.
Achana na hizo tamaa za kutaka kupewa pesa ambayo haipo kwenye mkataba wako wa ajira.
Watumikie wananchi wa Tanzania kwa nguvu na ujuzi wako wote ili upate thawabu.
AiseeCrdb wana mpango au wana songesha?
Kwa serikali , malipo ambayo unaweza kuyadai kihalali ni mshahara wako tu.Sio kwamba Nina tamaa, hizo posho nimezipata tangu nimeajiriwa mwezi wa tatu mpaka Sasa.
Nilitaka kujua tu Kwa mwezi wa saba pia zipo au hazipo kwasababu ni mwaka mpya wa fedha.
Kwa taasisi niliyopo, hizo ni posho za uhakika na lazima ziwepo Kila mwezi, elewa kwamba siwazii Kwa tamaa ila nataka kujua tu kuhusu mwezi wa saba.Kwa serikali , malipo ambayo unaweza kuyadai kihalali ni mshahara wako tu.
Hayo mengine ni neema tu, ukipata shukuru, ukikosa shukuru. Hutakiwi kuanza kuwaza kama posho itakuwepo au haitakuwepo.
Hata kuthibitishwa bado tuliaSio kwamba Nina tamaa, hizo posho nimezipata tangu nimeajiriwa mwezi wa tatu mpaka Sasa.
Nilitaka kujua tu Kwa mwezi wa saba pia zipo au hazipo kwasababu ni mwaka mpya wa fedha.
Ni pesa ambazo ni stahiki zangu na Haki yangu Wala sio kwamba natamani
Sina papara, ila nilihitaji kujua tu.Hata kuthibitishwa bado tulia
Sawa.Kwa taasisi niliyopo, hizo ni posho za uhakika na lazima ziwepo Kila mwezi, elewa kwamba siwazii Kwa tamaa ila nataka kujua tu kuhusu mwezi wa saba.
CrdbAta nguvu ya kuandaa lesson plan ya wanafunzi wangu wa darasa la kwanza, zimeisha kabisa.
Uko tayari?Crdb