Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,748
- 2,873
Kaka huu uzi umefungwa.. unafunguliwa kuanzia tarehe 21 july saa sita kamili usiku.Mshahara ni kama madawa ya kulevya ambayo mwajiri anampa mwajiriwa ili aendelee kumtumikia.
Kaka huu uzi umefungwa.. unafunguliwa kuanzia tarehe 21 july saa sita kamili usiku.Mshahara ni kama madawa ya kulevya ambayo mwajiri anampa mwajiriwa ili aendelee kumtumikia.
mi bado kupataKaka huu uzi umefungwa.. unafunguliwa kuanzia tarehe 21 july saa sita kamili usiku.
Kuna tatizo mahali , hapo inabidi uwasiliane na HR wakomi bado kupata
Ndio nipo njiani naenda nyumbani kwakeKuna tatizo mahali , hapo inabidi uwasiliane na HR wako
Nyumbani tena 🤣🤣 kazini hujaenda?Ndio nipo njiani naenda nyumbani kwake
Na huu mwezi kuna michango kama yoteUnajiandaa kusave pesa mwezi huu, mara ghafla rafiki yko anakuomba mchango wa harusi 😁
View attachment 3625710
SitoiUnajiandaa kusave pesa mwezi huu, mara ghafla rafiki yko anakuomba mchango wa harusi 😁
View attachment 3625710
Halafu huu mwezi una tabia kama za Januari 🤣Uzi utakua na safari ndefu sana mwezi huu, umefufuliwa leo tar.9? Doooh,,,Kazi ipo😅
Tawile hali ni teteMuda wa kuwagonga mademu waajiriwa kwa offa za michemsho, supu,bia,and other luxuries
Mbona makato badoMakato tayari kuna ongezeko