Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kwa hiyo payslip, naweza kuichukulia kama increment tu ya hiyo ya kwangu, maana mwaka wa kustaafu umeficha.

Lakini pia, hapo take home haifiki milioni 2.
Yes ndo maana nasema kwa ofisini kwetu Mimi Wala sio senior. Nastaafu 46.
 
Ticha unalipwa laki 6 kuwa mpole😁
Yani mtu secretary alipwe 3m eti kisa taasisi, na taasisi zenyewe hawazitaj wanatuona sisi sijui wapumbavu

Taasisi wanazolipa vizur zote tunazijua na tunajua wanalipaje pia
 
Wewe unaonekana una utoto sana na unaamini dunia inazunguka kwenye uelewa wako. Stupid.
Jamaa anabisha kizembe sana na nikwasababu hajakutana na watu labda.

Ninae mazaa ni secretary NSSF mshahara wake akikuonyesha unaweza zimia na elimu yake ni Diploma tena kaipata mwaka juzi so hiyo scale alikuwa nayo ya Elimu ya cheti tu...
Imagine alichukua mkopo 200M na akikatwa bado anapata 2M+
 
Chai
 
Back
Top Bottom