Kwamba nizitafute kwa ku-Google?Ndio maana nikaweka na Salary scale yake hapo unaweza kuzitafuta den ukacompare at your time kuprove
Kwamba nizitafute kwa ku-Google?Ndio maana nikaweka na Salary scale yake hapo unaweza kuzitafuta den ukacompare at your time kuprove
Hata mwalimu anaweza chukua hiyo weka full details acha ushambaUnasema
Mimi siishi bongoWee mgeni Bongo hii!?
Ndio mkikaa hapo kijiweni mnaambiana hivyoBaka baka😅😅😅
Baka baka mishahara haina tifauti na TAMISEMI.
Mimi nina jamaa zangu wengi tu bakabaka.
Tofuti posho. Wanalipwa posho ya nyumba na pesa ya vinywaji laki moja kila.mwezi ambayo wanapewa laki 3 kila baada ya miezi 3.
Niliomaliza nao form 4, baka baka wako 4.Ndio mkikaa hapo kijiweni mnaambiana hivyo
Au sioMimi siishi bongo
AiseeJamaa anabisha kizembe sana na nikwasababu hajakutana na watu labda.
Ninae mazaa ni secretary NSSF mshahara wake akikuonyesha unaweza zimia na elimu yake ni Diploma tena kaipata mwaka juzi so hiyo scale alikuwa nayo ya Elimu ya cheti tu...
Imagine alichukua mkopo 200M na akikatwa bado anapata 2M+
Mkuu saa sita usiku mzigo utakua on!Mimi naingia humj nategema nisikie Mzigo tayari nisogee Kwa shayo humu mnabishana tu Taasisi ipi inalipa vizuri sijui na Posho za nini
Kuna jamaa humu umetaja Posho Ya Mawasiliano ndii Take home yangu nimeumia sana basi tu
Tatizo ni level za matumizi watu wengi wanaishi maisha ya vipato vyaoMwenye hii take home Kwa tamisemi ni principal officer
Mdogo wangu kaajiriwa kwenye taasisi Fulani analipwa 2.9m basic, anapata extra duty 1.02m, housing allowance 500,000/, communication allowance 100,000/-, transport 400,000/- lakini Bado na yeye analia mshahara ukichelewa.
Ngoja pesa iingie nitaku update. Mi haya mabishano siyawezi.Mimi naingia humj nategema nisikie Mzigo tayari nisogee Kwa shayo humu mnabishana tu Taasisi ipi inalipa vizuri sijui na Posho za nini
Kuna jamaa humu umetaja Posho Ya Mawasiliano ndii Take home yangu nimeumia sana basi tu
Bakabaka mwenye degree na tamisemi mwenye degree wako sawa kwa salary?Niliomaliza nao form 4, baka baka wako 4.
Mdogo wangu kawa Baka huu mwaka jana.
Wengi wanaponea mission za Sudan, Lebanon au Congo zikitokea.
Kikubwa utility
- kwa hiyo unataka kubisha?
- unafikiri mishahara na posho kwenye utumishi wa umma vinafanana?
- kuna taasisi officer Jr salary scale ni hiyo 2.9m.
- Tafuta exposure, kuna taasisi wanalipa extraduty 1.8m k
Hawalipi degree, wanalipa taaluma pesa kidogo sana.Bakabaka mwenye degree na tamisemi mwenye degree wako sawa kwa salary?
Sita usiku mzee unaamka nayo kama mchawiPesa bado?
Utajua mwenyewe sasa hapo source za kupata info ni nyingi utachagua wewe sasa utumie njia ipi........Kwamba nizitafute kwa ku-Google?
Nisogee kabisa Bar mkuu sioMkuu saa sita usiku mzigo utakua on!
Mwanangu hizo sacale unataja sijui za Zimamoto hukoHawalipi degree, wanalipa taaluma pesa kidogo sana.
Degree inakusaidia kwenda kozi.
Mfano, degree kama afya yako inaruhusu unaweza kwenda kusoma nyota moja. Hiyo nyota moja ndio ina mshahara.
Mfano, kuna jamaa yangu alikuwa analipwa laki 5 tu, baadaye akaenda kikozi cha MP, ikaongezeka 35,000 tu ya hicho kikozi.