Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mpaka kieleweke leo
IMG-20260623-WA0225.jpg
 
Maboss nipeni kazi wakuu mnipe kazi nifanye ya kuwatafutia samaki sato, sangara au dagaa wakubwa kwa wadogo, nipo Mara, niwatumie huko mlipo, Sina mtaji zaidi ya uhaminifu tu kuniamini Mimi kesho ijumatano wanafunga Giza , siku inaweza kuwa week Moja mpaka week mbili, nipeni kazi
 
Hakuna uaminifu kwa usiyemjua
 
Mimi ni mwaminifu Tena naogopa sana fedha ya mtu , kama kazi yake haijatimia jinsi ilivyo
Kila mtu anaweza kusema hivyo unavyosema wewe kifupi lete mzigo upewe hela kama haiwezekani tafuta kazi nyingine pia unatuharibia huu uzi dhumuni la huu uzi ni moja tu kufatilia mishahara
 
Asante 🙏
 
Back
Top Bottom