TUNDU LISSU AWASIFIA POLISI
Makamu mwenyejiti baada ya kupata dhamana jana, leo ameripoti kituo kikuu cha polisi jijini Arusha kama masharti ya dhamana yalivyotaka.
Makamu mwenyekiti Tundu Lissu asifia muelekeo mzuri wa maafisa polisi kituoni kwani wamebadilika.
Kuhusu madai ya msafara wa CHADEMA kuweka kizuizi barabarani, mheshimiwa Tundu Lissu amewafahamisha maofisa polisi waliokuwa wanamhoji kuwa walikutana na watu wasiofahamika wamezuia barabara.
Hivyo wao kama raia walisimama na kuwahoji watu wasiojulikana ni kina nani, vipi wameweka kizuizi barabarani na wakajitambulisha kuwa ni askari, hivyo ikabidi kukabiliana nao kwa kuwahoji watuonyeshe vitambulisho kwa kuwa watu hao wasiojulikana walikuwa wamevaa kiraia.
Na hayo ndiyo maelezo yetu tuliyoandikisha Polisi leo asubuhi anasema makamu mwenyekiti na hivyo tunasubiri hatua zingine ambazo polisi wataona zinafaa kisheria .
Picha hapa chini mapema kabisa leo asubuhi mheshimiwa Tundu Lissu na wenzie waliopata dhamana ya Polisi jana, wakifika kituoni polisi huku wameongozana na Mawakili wao kituo kikuu cha polisi jijini Arusha kutoa maelezo ya awali