BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,032
- 3,944
...Njia ya Goba kuingia Morogoro Road inajengwa Fly-over??Watu kama hawa saa nyingine ni kuwasamehe bure , hawana exposure na hata ile common sense tu hawataki kuitumia , watu wanadhani maendelo yanakuja kwa kuongea tu, bila actions.
Wakati barabara ya kimara inajengwa nilikuwa nina wasiwasi sana jinsi barabara ya kutoka goba itakavyokuwa sunbufu kwa plan yao ya kukatisha T1, humu kuna watu kama huyu walikuja kupinga kwa nguvu zote ,
Leo hii Tanroad anafanya exactly nilichoshauri kwa kujenga overpass mbili maeneo hayo hayo,