Mkuu vip???? Je nimevunja sheria??? Hapa ni chitchat bana.....
Achana nae kakurupuka usingizini memory haijaboot bado. Mod hajui maana ya jukwaa?
hata km ni mulika mwizi sio kiivyo
Mkuu vip???? Je nimevunja sheria??? Hapa ni chitchat bana.....
Mkuu Mr Rocky jiangalie aiseeee...... me nimeandika kauli kama hii nikapewa onyo kali sana!!!!!
Achana nae kakurupuka usingizini memory haijaboot bado. Mod hajui maana ya jukwaa?
hata km ni mulika mwizi sio kiivyo
charminglady majina yetu yana password bana siyo tu kutaja taja kihivyooo.
Hahahaaaaa..... Memory boot failure :doh: :doh:
charminglady nimeiona aise nimeogopa mods wako huku sijui nani kawaleta aise. Tutaanza kuogopa kuingia chit chat sasa
Yan tuna kazi.
Huyu jamaa ni km polisi wa Tanzania wakiambiwa kitu hata hawatafakari yan wanakurupuka tu km kondoo wameshtukizwa.
Sasa kuambiwa chitchat irudishwe hadhi ndio kaja na marungu. Atutolee nanii zake hapa.
Madame B naona manoah kaingia mtini na salam zenu. Asante kama ni mzima kabisa. Mimi na familia tuko salama kabisa
charminglady namshkuru Mungu niko salama kabisa na familia
Lily Flower na Mungi nashukuru kwa salam.
Nimeanza kupiga ulabu maana naona mmeamua kuninyang'anya mke wangu mtarajiwa sweetlady mkaenda kumuuza kwa kibabu. Hata mazoezi hayafanyiki tena
Blaki Womani nimekumiss wewe acha kabisa
Usifanye kosa hilo wewe....ila nenda tu maana kuvuja kwa pakacha ni nafuu kwa mchukuzi....