Mungi wanasema eti ni King'asti aise sijui kama kapewa talaka au bado yupo
Vin Diesel dah naona jukwaa sio jema tena aise mkuu Buchanan anatembelea huku kama kwake
charminglady dah hakufai tena chit chat aise nina mpango wa kuhamia jukwaa lile la chini kabisa nikajiachie
Mungi sasa inabidi tuwe member wa lile jukwaaa la kujiachia maana huku kushaota nyasi
Nimeanzisha uzi jana duh ghafla ukafungwa aise naogopa sana kupata ban aise kwenye chit chat