Mods tunaomba hadhi ya Chit Chat forum irudishwe!!

Mods tunaomba hadhi ya Chit Chat forum irudishwe!!

Status
Not open for further replies.
Madame B naona manoah kaingia mtini na salam zenu. Asante kama ni mzima kabisa. Mimi na familia tuko salama kabisa
charminglady namshkuru Mungu niko salama kabisa na familia
Lily Flower na Mungi nashukuru kwa salam.
Nimeanza kupiga ulabu maana naona mmeamua kuninyang'anya mke wangu mtarajiwa sweetlady mkaenda kumuuza kwa kibabu. Hata mazoezi hayafanyiki tena
Blaki Womani nimekumiss wewe acha kabisa
 
Last edited by a moderator:
i_love_u_25.gif Madame B
Mimi sijambo Mr Rocky,japo manoah bado hajatufikishia salamu.
Sijui wewe na familia yako.
 
Last edited by a moderator:
Madame B naona manoah kaingia mtini na salam zenu. Asante kama ni mzima kabisa. Mimi na familia tuko salama kabisa
charminglady namshkuru Mungu niko salama kabisa na familia
Lily Flower na Mungi nashukuru kwa salam.
Nimeanza kupiga ulabu maana naona mmeamua kuninyang'anya mke wangu mtarajiwa sweetlady mkaenda kumuuza kwa kibabu. Hata mazoezi hayafanyiki tena
Blaki Womani nimekumiss wewe acha kabisa
sweetlady tumempiga marufuku kutoka nje ya geti manake unamfundisha tabia mbaya binti yetu............. hatukubali umwondolee bikra mtoto wa watu
 
Last edited by a moderator:
Mungi na Lily Flower mbona mnaingilia sana anga za watu. Nawatafutia nafasi vitu vyenye ncha kali vitawahusu sana
manoah habari za jioni kaka. Hope umeimaliza siku salama kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky mie ni mzima na nimeimaliza jionimyangu vyema kabisa.... Jioni njema kaka
 
Last edited by a moderator:
Mungi na Lily Flower mbona mnaingilia sana anga za watu. Nawatafutia nafasi vitu vyenye ncha kali vitawahusu sana
manoah habari za jioni kaka. Hope umeimaliza siku salama kabisa

Sasa we unataka tukuachie ufanye unavyotaka kwa sweetlady? hiyo hapana aisee kama mbaya iwe mbaya tutamlinda kuhakikisha resource ya mtoto inakuwa intact muda wote
 
Last edited by a moderator:
manoah asante sana mkuu. Uwe na jioni njema kabisa
Mungi we acha tuu roho inaniuma sana kumkosa sweetlady wangu. Kwani si ilikuwa mazoezi ya kwaya tuu mi sikuwa na mpango wa kuharibu resources yake bana
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom