Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,445
charminglady nani alimwambia Buchanan kuwa tunataka kumulikwa na tochi yake huku
Huku ilikuwa stress free sasa naona kunakuwa kama lile jukwaa la akina Ritz na zomba
Madame B uko salama wewe. manoah sijamuona alikuwa ameambiwa anapendwa
Vin Diesel uko salama kaka
Mimi sijambo Mr Rocky,
na ni mzima kbs.
Unajua bhana kwa mtazamo wangu mimi naona kama vile Ma-mod wana upendeleo fulani,hasa Modereta wewe hapo.
Hutendi haki kwa baadhi ya Member,unaegama upande mmoja tu na licha ya hvo ukimuona mfuasi wako kaja nawe ndo unajidai kuja.
Kumbuka Mod ni member kama mimi na una hiari yako kunichukia au kunipenda (japo hapa sipapendi),
ila Ukweli ndo huo,
Acha kupendelea Upande Mmoja!
Au wewe ndo yule member?
NB:
Sijataja jina la Mod,hvo simo.
Me nimerusha jiwe gizani tu.....
Last edited by a moderator: