Mods tunaomba hadhi ya Chit Chat forum irudishwe!!

Mods tunaomba hadhi ya Chit Chat forum irudishwe!!

Status
Not open for further replies.
Mie, nasaidiana na andy chande, naenda kuchukua Bukene si unajua ndio alipotokea pale, kwaiyo kaniambia nitulie kwanza
nzuri manoah, vipi lile jimbo unalotaka kugombea? Nasikia profesa maji marefu ndo mganga wako na ushaanza kuwekeza kwake
 
Last edited by a moderator:
Mie, nasaidiana na andy chande, naenda kuchukua Bukene si unajua ndio alipotokea pale, kwaiyo kaniambia nitulie kwanza

Usinisahau kwenye makampeni meneja..... si wajua tena siasa ndo mpango mzima wa kutokelezea kimaisha
 
Hapana siingii kwenye siasa ili kutoka kimaisha bali kukomboa taifa langu. Kimaisha nimeisha toka, maana sihitajigi mbwe mbwe kwenye life, na nina amini katika ujamaa nauchukia ubepari kama magonjwa niya chukiavyo

Back
Top Bottom