Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
manoah wewe ni kama maji lazima utahitajika tu hata kwenye hali gani siwezi kukutenga,
umeamkaje toto?
manoah niweke na mimi kwenye hiyo sala.
manoah kanawe uso utoe matongo tongo kwanza uweze kuona vizuri.
Mr Rocky huyu bwana mdogo Vin Diesel hata mie nashangaa alikopotelea,
talaka kwangu ni suna isikupe tabu.
Mamndenyi namhurumia kaka yangu Vin Diesel maana ataweka historia ya kutoa talaka.
Atakuwa ni no one kutoa talaka ndani ya chit chat aise @
charminglady mbona hadhi ya cc imesha ludi.. anae sumbua mnakausha na kumlia makavu then sie tunaendelea na upendo wetu
Nshawaweka kwenye ignore list wala siziview comment zao wala thread.... VIVA CHITCHAT