Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Kumbuka kiserikali Hussein Mwinyi kwa sasa anatambulika kama Rais ajaye wa Zanzibar, in fact ameshapewa ulinzi wa hali ya juu.
Uchaguzi utafanyika kama formality tu, ila Mwinyi lazima watamtangaza mshindi
Kwanini uchaguzi usiahirishwe,atangazwe tu?Mi kwa kauli yako naona ni kupoteza muda na raslimali nyingine,kufanya hilo igizo.
 
Hapo CHADEMA mtasababisha mtu fulani ashindwe kuhudhuria mazishi. Au hata na yeye anaweza kupata cardiac arrest.

Kumuangalia uliyemuua kwa risasi 16 halafu akafufuka yataka moyo!!
Kwakweli yule bwana anaweza kuanguka hapo msibani.
 
Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter
Yaliwapata segerea na bado hamjifunzi! Pamoja na sehemu nyeti za kiusalama wa taifa airport ni mmojawapo. Kuna sehemu za kufanya mkusanyiko ya mihemko ya kisiasa lakini siyo airport hasa kwa mazingira ya msiba wa kitaifa. Naamini safari hii kipigo siyo tu cha jeshi la police, lakini pia majeshi mengine pia halali yao. Sisi wengeni ni kuonya ili msije mkasema hatukuambiwa. SHAURI YENU.
 
This is Chadema I know. Kudos Mnyika. There is no way Hussein Mwinyi anapokelewa Zanzibar kuanzia AirPort na shamrashamra kibao alafu kumpokea Lissu iwe nongwa.
Wakikwambia katoka nje ya nchi anatakiwa awe karantini siku 14 kabla ya kuwasalimia wananchi utasemaje?
 
Back
Top Bottom