Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Duh, mkiambiwa Chadema ni SACCOS muwe mnaelewa. Yaani taarifa za kiofisi inatolewa kwa njia ya twiter
 
Bado naangalia stopwatch yangu inavyo_count maelfu ya sekunde kwa speed ya hali ya juu, ili kushuhudia linaweza kutokea kwenye sekunde hizi 0:00:00:00
 
Hapo CHADEMA mtasababisha mtu fulani ashindwe kuhudhuria mazishi. Au hata na yeye anaweza kupata cardiac arrest.

Kumuangalia uliyemuua kwa risasi 16 halafu akafufuka yataka moyo!!
Kwani nani anahusika na shambulio la Lisu ?
 
This is Chadema I know. Kudos Mnyika. There is no way Hussein Mwinyi anapokelewa Zanzibar kuanzia AirPort na shamrashamra kibao alafu kumpokea Lissu iwe nongwa.
Kumbuka kiserikali Hussein Mwinyi kwa sasa anatambulika kama Rais ajaye wa Zanzibar, in fact ameshapewa ulinzi wa hali ya juu.
Uchaguzi utafanyika kama formality tu, ila Mwinyi lazima watamtangaza mshindi
 
Twende ni kumpokea shujaa wetu. Twendeni kwa amani, twendeni huku tukionyesha kuwa sie ni watu wa amani, si watu wa fujo.

Kama fujo waanzishe polisi, kama kuua waue polisi. Tuone kama wanaweza kutupiga risasi watu 1000 au 2000 tutakaokuwa tumeenda kumpokea shujaa wetu
Watz walivyo waoga wanaweza wasifike hata 50
 
Kumbuka kiserikali Hussein Mwinyi kwa sasa anatambulika kama Rais ajaye wa Zanzibar, in fact ameshapewa ulinzi wa hali ya juu.
Uchaguzi utafanyika kama formality tu, ila Mwinyi lazima watamtangaza mshindi
Endeleeni kuonesha ujinga wenu hadharani. Kwa iyo unamaanisha mmeshawachagulia wazanzibar raisi???

Mnayemuaga leo alijutia huo upuuzi alafu nyie badala ya kujifunza mnauendeleza. Kumbukeni watanzania wa leo sio wa mwaka 2000
 
Ilo halina ubishi
Wazanzibar siku zote huwa wanachaguliwa marais
 
Wakisema ataenda msibani eti ndo iwehuruma ya kutokamatwa.
wenye msiba hawataki aende.
 
Back
Top Bottom