Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

Moses Cheyo:
Jambo la kwanza, kama moja wapo ya wazee tujipongeze wote kwakuwa na kikao hiki.
Katika 4R tulizofundishwa jana R moja inayohitajika katika mswada huu ni reform.
Moja kubwa kabisa tafsiri ya tume. Huko kata anaweza kujiita tume.
Upana wa tafsiri juu ya watenda wa tume wawe wa moja kwa moja siyo kuazima kutoka TAMISEMI.
Mkurugenzi anajifungia akifungua mlamgo anatangaza matokeo yaek.
Tukiongea reconcilation ni reconcilation na voters. Mkurugenzi ameonywa kuwa uchaguzi ukienda vibaya kwako mkeka unakuja.

Tume haionekani chini. Kwenye mswada huu hatuoni tume huko chini. Ninawaambia vijana hakuna sehemu ya kukimbilia ni hapa hapa tutengeneza tume nzuri.

La pili tume wajibu wake, itusaidie kusimamia pesa. Maana uchaguzi wa sasa ni mnada ukiwa na pesa ndio unapata ubunge ukiwa huna fedha hupati.
Jukumu moja wapo kubwa kuratibu pamoja na matumizi ya fedha hayaruhusiwi. Na adhabu kali. Leo watu wanatuibia sehemu nyingi ili kukusanya pesa wawe wabunge. Kama hamsikii shauri yenu.

Je, ni lazima tuendelee na utaratibu huu. Je hatuwezi kwenye na propotional representation. Tunashindana vyama hatushindani kuwa tunapesa kiasi. Hii inasaidia kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa. Itutafutie namna kuchaguaniani.

Yaani unahonga kiberiti au kabodo.

Wewe naona unataka numbers sisi tunataka ideas. Eti wamechangia wangapi
Safi sana Mzee Cheyo Uzee ni mali na hazina kuu.Huu uchaguzi wa kujaza wasanii siyo uchaguzi tume ijisahihishe.
 
Huyu Mh. Hashim wa CHADEMA namfaham vizuri sana, huyu jamaa ana mental problems.
 
Venus Star kwa kweli uko hapa kuficha taarifa za mkutano na sio kutuhabarisha.

..unataarifu kuhusu michango inayomsifia na kumtukuza Raisi, na kuficha michango ya wanaokosoa na kueleza hali halisi ya demokrasia yetu.


View: https://www.youtube.com/watch?v=1hIdyjXCu1Q

cc Pascal Mayalla

Uliyemtag nae ni mzee wa fursa.

Hapo wakitoka wanaenda kuchungulia account zao zinasoma kiasi gani huku watanzania wakiendelea kusalitiwa.

Tangu jana nimesema maoni halisi watayapata mtaani , hapo naona watu walioshiba na account zinajazwa pesa tu kuja kusifia kwa kiasi kikubwa hayo ni maoni 0.000001% ya watu hivyo kwangu ni almost neglible.
 
..4R ni ulaghai.

..kama Raisi yuko serious na 4R aunde Tume ya Ukweli, Haki, na Maridhiano, kama ile iliyoundwa kule Afrika Kusini.

.
Tume ya ukweli unaundwaje. Hebu toa maoni yako ndugu yangu. Huku tukitafakari 4R na baadae tufanye reforms
 
Back
Top Bottom