Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 82,942
- 96,699
Hapa hakuna la maana litapatikana
Njaa mbaya sn, Paschal ana akili sn sema njaa ndiyo hivyo tena, Paschal alisababisha mimi 2016 nikaanza kuifuatilia Jamii forum japo nilijoin 2014 nikiwa chuo na sijui nilijiungaje.Leo ZZT na Paschal wameongea nikawaelewa kumbe Wakija JF huwa wanajitoa ufahamu bila sababu
Dr, Lilian Badi Mwenyekiti NGO taifa
Mchango uende kwa kamati itakayokuwa inafanya majumuisho. Kuhusu wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wasimamizi wa uchaguzi.
Wakurugenzi kuwa wasimamizi wanauelewa wa maeneo ya utawala wa maeneo husika.
Kuteuliwa na rais hakutawafanya wasitekeleze majukumu yao. Kujitoa uanachama.
Athari ya watu ambao wapo nje ya Serikali ikiwemo ghrama.
Kumbe point ni kumpongeza Rais na siyo kujadili contents?