The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
We unaona Lina sura ya wapi? Peleka upuuzi wako hukoSio kila mtu ni msukuma. Baraza la mawaziri liwe na sura ya kitaifa. Hilo nitalisema daima. Hata kama linakukera
We unaona Lina sura ya wapi? Peleka upuuzi wako hukoSio kila mtu ni msukuma. Baraza la mawaziri liwe na sura ya kitaifa. Hilo nitalisema daima. Hata kama linakukera
Hao wenyewe mabumunda unataka mabumunda yepi zaidi.Hiyo regional representation ni ipi? Umehesabu kila mkoa wapo wangapi? Tukikimbilia regional representation tunaweza kukosa watu sahihi tukaishia kupata mabumunda.
Ningefarijika kuona ukisema labda flani hafai kwa sababu hizi na hizi badala ya kusema regional representation.
Umechukua buku 7 yako jana?We unaona Lina sura ya wapi? Peleka upuuzi wako huko
Hata siko kwenye chama 😆😆 ,mimi ni staff wa serikali kwenye taasisi z tuu.Umechukua buku 7 yako jana?
Wewe hujui siasa na maswala ya kiutawala. Unabwabwaja tu.Hata siko kwenye chama 😆😆 ,mimi ni staff wa serikali kwenye taasisi z tuu.
Natoa Maoni yangu.Narudia kuuliza, mawaziri ni wawakilishi wa mikoa?
Mbona mkoa niliko hakuna cha Naibu wala Waziri na mambo yanaenda,wewe unataka kusema nini hasa?
Hebu wataje km watafika hata 8 na kumbuka wasukuma tuna mikoa 4Mmeanza kutafuta chochoko,
Enzi zile mbona Baraza lilijaa wasukuma na hatukusema
Hujui unaloongea? Huenda unatoka ChatoKatiba mbovu sana. Kama Kenya Rais anateua mawazili kwa kubalance Kanda na jinsi ipo kwenye Katiba. Hiyo ndio picha halisi ya utaifa kuwakilishwa. Sasa huyu mama yeye anaangalia 2025.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hata wangetoka wote Pwani. La muhimu Ni Watanzania. In fact hawakuongezei lolote kwenye maisha yako binafsi hapo BuzaWewe hujui siasa na maswala ya kiutawala. Unabwabwaja tu.
Basi aweke mawaziri wote kutoka mkoa mmoja au kanda moja tu, uone moto wake. Au hata aweke 70% dini yake, uone moto wake.
Hiyo falsafa unayosema wewe haipo kwenye dunia hii.
Na kama wewe ni mtumishi wa umma, lazima unajua mambo ya impartiality.
Unapokuwa partial katika uongozi unategemea nini?
Hivi Beatrice Kamugisha. Sisi mkoa wa Mara ndiyo hatuna wabunge ?!.1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Ww umekaa bara ww ama unabwabwaja tuWatu wa pwani hawana roho mbaya kama wasukuma
Acha ujinga basi, kwani usitafute balance ya baraza Zima? Halafu haiwezekani kutafuta balance kwa kila Kanda.Katiba mbovu sana. Kama Kenya Rais anateua mawazili kwa kubalance Kanda na jinsi ipo kwenye Katiba. Hiyo ndio picha halisi ya utaifa kuwakilishwa. Sasa huyu mama yeye anaangalia 2025.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kitaalam hii inaitwa kurudisha mpira kwa kipa1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Samurai- san, Ohayōgozaimasu, Konnichiwa!Hebu tupe idadi ya kanda ya ziwa
Kanda ya kaskazini.
Kanda ya nyanda za juu kusini...
Hizi siasa za kifala, watoto wetu watakuja kutudharau sana
Hakuna palipo andikwa ulazima wa kila mkoa kutoa waziri.
Mwacheni mkuu wa nchi afanye anavyo jisikia maana tukisema tunahitaji katiba mpya mnaanza kumbwela mbweela
Itakuwa population yao ni kubwa na wanawawasomi wengi , hivyo wana ratio nzuri ya population na wasio vs watu1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?
Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Huu sasa ni ukorofi wewe shabiki 🤣Ongezea na hii; halafu kawang’oa wakristo tu ili Ajaze waislam
Unaweza kujikuta wewe ndio mpumbav zaidi!Wapumbavu ndio mtakaoamini huu ushenzi
kwa kweli hata mm sielewi kwamba nafasi ya Lukuvi inaweza zibwa na Ridhiwani?ni kituko cha dunia hata pia kweli Jenista anaweza kuimudu wizara ya utumishi.sana sana hapo badiliko la maana ni Elimu ijapokuwa pia kumtoa Mkenda ni technical mistake.wizara ya afya sawa ummy anauzoefu nayo sina mashaka sana pia kumwacha Kitila ni sawa sawa sababu hakuwa na tija lkn pia Bashungwa kwangu naona pia ni mzigo hawezi kuihimili hiyo wizara hata wizara aliyotoka sikuona mchango wake.kwa mantiki hiyo wizara ya utumishi na ardhi kwa kweli tumeharibiwa.ardhi ina changamoto nyingi sana na inahitaji mtu makini sana kuimudu na si wizara ya kuifanyia majaribio.ktk nchi hii migogoro ya ardhi ni changamoto kubwa.kila kona ni kilio kilio na haikupaswa kujariribiwa kwa kupewa mtu laini laini kama ridhiwani pia utumishi,tamisemi kuna matatizo mengi sana na wanatakiwa watu makini kuziongoza wizara hizo.1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze