Mkoa wa Pwani watoa Mawaziri watano kwenye baraza jipya; ni bahati mbaya au ndiyo tuseme sasa zamu ya watu wa Pwani?

We mpuusi mbona unaendekeza ukabila? Kwamba watu wa pwani si watu? Kipindi cha mwendazake ulizungumza kuhusu usukuma? Kutawala Baraza la mawaziri?
Jibu hoja siyo kutoa matusi ni mkoa gani kanda ya ziwa uliotoa angalau hata mawaziri wanne tu ?
 
Jibu hoja siyo kutoa matusi ni mkoa gani kanda ya ziwa uliotoa angalau hata mawaziri wanne tu ?
Wanne wengi sana hata watatu tu.

Leo wanasema kuhoji hili la Mkoa wa pwani kupendelewa ni ukabila. Wakimaliza wanaanza kutukana Wasukuma na kusema Magufuli aliwapendelea. Walitukana sana Magufuli Hadi maiti yake wakiongizwa na akaunti yao ya Kigogo 2014. Binafsi sitasamehee kamwe na naendelea kuahamasisha wenzangu kuamka zaidi. Asante
 
1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze

2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji

3. Jafo Mbunge wa Kisarawe

4. Kipanga Mbunge wa Mafia

5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga

Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani kwenye uchumi wa Tanzania? Upi mchango wa Pwani kwenye kura za Uchaguzi Tanzania? Upi mchango wa Wabunge Hawa kwenye mikakati ya Taifa?

Lakini pia nikimaliza kushangaa Pwani najiuliza ni kweli sub ya Mchengelwa pale ofisi ya RAIS Utumishi ni Jenister Mhagama? Kwamba Jenister akatatue changamoto za Utumishi nchini?
Basi tu ni kwa sababu za hapa na pale wangeteuliwa wangazija wa chumbe.
 
Mmeanza kutafuta chochoko,
Enzi zile mbona Baraza lilijaa wasukuma na hatukusema
Mkuu kumbuka wasukuma wana mikoa mitano. Hivyo akiteuliwa waziri mmoja toka kila mkoa itaonekana ni wengi.

Ili sentence yako ionekane ina maana taja mkoa m1 wa wasukuma na uwataje mawaziri waliyoteuliwa toka mkoa huo. Kwa ujumla kwa Tz wasukuma ndiyo kabila lenye idadi kubwa ya wa2
 
Regional Representation ni tunu adimu aliyoitumia baba wa Taifa kujenga umoja na mshikamano.

Tusipo enzi hilo hali ya South Sudan itatunyemelea
Nonsense! !! Unataka kumtumia baba wataifa kulinda hoja yako! Ushindwe na ulegee. Nakemea kwa jina jamuhuri! !
 
Back
Top Bottom