Itakuwa hivyo naona!Mchungaji ndo kamchomoa hizo hela
pole saana , vp talaka ulipewa au urirudi kuishi na mume wako ?Wallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..
huyo mkeo anajuonea bure kama ndiyo hivyoRudi tena kwenye maelezo yangu ya awali uweze kuelewa vizuri
Mfano kama aliibiwa hajafika nyumbani? Kazunguka na hela kutwa mzima kwenye pochi kukutana na watu mbali mbali siku hiyo amefika home saa moja jioni anadai hakufungua tena kuangalia pesa hadi asubuhi
Vipi kama aliibiwa kwenye mizunguko yake?
wachungaji wa kisasa wengi wahuni , usipokuwa mwangalifu anamla mpaka mke wa mtuMkuu pole sana, Mimi ni mkristo lakin napata shida sana kwa wachungaji wa kisasa, wamevunja ndoa nyingi kwa nabii za uongo na wameleta migongano mingi katka jamii kwa nabii uchwara Mara ooh unalogwa na Jirani Mara kazin umetegewa na Leo umeleta kisa hiki.
Nakushauri usishindwe na karibu Bali ulishinde karibu.
Kuwa uvumilivu muda niwalimu ukweli utajulikana Mungu ni wa haki, nakushauri usiende kinyume na agano la ndoa, kumbuka watoto wanakutegemea, hata huyo mkeo hili likipita naye atajutia,
Hata yeye yuko njia panda akijiuliza kama wew hujachukua nani kachukua?
Kuna kisa kama cha mkeo, alikopa pesa kufika home zikapotea 10,000,000/=
yesUsikute katepiliwa huko ameamua kukuangushia mzigo, hawa Wanawake wa mjini tena hawa wafanyabiashara ukiwatia tamaa kidogo tu unawatapeli.
safi saana , ila ww unazo mamyHapo ndio ustahamilivu unapokuja na sikufikiria mimi nafsi yangu ila watoto wangu walikua wadogo just 4months nimetoka na sikupenda watoto wangu wakue bila mzazi wao...na vile vile binadamu tuwe na moyo wa kusamehe ikiwa mwenyezi mungu anasamehe why not sisi...
ok hata yy mume ni mchaga , si unaona jina lake ni kimathindio madhara ya kuoa wachaga mkuu usilaumu sana..wengi wanathamini pesa kuliko kitu chochote..
sasa kama angepata mume kama wa kwangu angefanyaje, huyu wa kwangu alichukua pesa ambazo niliziweka kwa ajili ya ujenzi km 5m na akakiri kuwa amechukua lkn wala hatujagombana kiviiiiiiiile mi nilinyamaza tu nikaamua kuweka pesa kimya kimya bila kumshirikisha asijue mana akijua tu anabeba..hata kama si zote atapunguza tu..sasa huyu angeweza kuishi na mtu wa hivi kweli?
haa wapi hamna kulipa hapoamlipe avunje ndoa.
mkuu hilo liko wazi wapo japo wachache wanatafuna kondoo balaa, kuna mmoja alitia fora alitafuna wasichana karibu wote na baadhi za wake za watu mwishowe akakimbilia mkoa mwingine baada ya dili kujulikanawachungaji wa kisasa wengi wahuni , usipokuwa mwangalifu anamla mpaka mke wa mtu
mkewe atakuwa mmarangu ndo vishedu sana aseeUsimpe hio hela...we chepuka tu..aisee kuna wanawake vichomi kweli kweli,pumbavu
Wanaume wanaoa hilo kabila wana moyo sana,labda waoane wenyewe kwa wenyewe maana tabia wanajuanamkewe atakuwa mmarangu ndo vishedu sana asee
Huo utakuwa ni upuuzi. Utalipaje deni lisilo lako?.Mlipe pesa yake hata kama hujachukua
Mtafutie hela mpe kisha vunja ndoa yenyewe,maana kama ni kweli hujachukua ana jambo baba amekusudia.