Mimi ni binadamu na nna Moyo pia,sababau ya kutoondoka pale mwanzo nikutaka kujua wapi hela imekwenda,ningeondoka maneno yangezidi ilifikia mpaka mumewangu chakula nnachopika akawa hali anakula kwa ndugu zake,nilisema ntabakia hapa mpaka nijue ukweli,nilipotapa ukweli ndio siku nilochukua wanangu nikaondoka,nilikua na mawazo mengi sanaa,khasa mumewangu ndugu zake kuniamini au kutokuniamini is the list of my concern lakini yeye ndio aliekua ananiumiza kichwa siamini masikio yangu wala macho yangu nikimuangalia nalia kama nimepigwa nasikia uchungu machozi yamotooooohe sasa kwanini uliondoka maee wakati ulishavuka mazito zaidi
Mtafutie hela mpe kisha vunja ndoa yenyewe,maana kama ni kweli hujachukua ana jambo baba amekusudia.
Mlipe pesa yake hata kama hujachukua
Mmmmmhhh Bushoke!!Asee hii ni hataree....ina maana wewe hukuchukua pesa zake?
Na kama alirudi ucku na hizo pesa zake na mnalala wawili chumbani ni nani kazichukua sasa?
NB: kama mkuu alivyonena hapo juu, mlipe ankara yake amani irudi ndani ya nyumba bana!...mambo mengine ya kujitakia.
Kwanza pole sana,hawa wachungaji nao shida tu kuna rafiki yangu mmoja,ameoa mke sasa mkewe kaingia makanisa ya kilokole,huyo mchungaji kamwambia eti mama mkwe wake ni mchawi anamroga,yaani mama wa mmewe.Rafiki yangu kaja kuniomba ushauri nikamwambia sasa hivi twende kwa huyo mchungaji,tulimfata na kumwambia atuonyeshe huo uchawi wa mama yetu ni upi na yeye ameugunduaje,alibaki anajiumauma,nikata ngumu 5 za nguvu nikapelekwa polisi,wakaniuliza nini kisa nikawaelezea,rpc alishangaa sana ndipo akamwambia mchungaji hayo maneno yake hayafai na si vema kusema hivo.Sasa nakushauri kitu kimoja,nenda nae kwa huyo mchungaji wake,mwambie mchungaji kuwa uko tayari kuapa kwa kitabu chochote anachokiamini yeye kwamba wewe hujaiba hizo helaMwezi mmoja uliopita wife alipata mkopo kutoka mahala fulani wa shilingi 6 million, lengo la mkopo huo ilikua ni kuimarisha biashara yake ya restaurant na kuipanua zaidi, mm ndie nilitoa mtaji wa hiyo restaurant wakati inaanza
Siku ya tukio alichukua pesa hizo benki na kuziweka kwenye pochi kubwa na kuanza kuzunguka nazo tangu asu ubuhi hadi jioni aliporudi, mm nilirudi usiku mwingi kutoka kwenye pombe na nilimkuta ameshalala nilihudumiwa na hg chakula nikaenda kulala, asubuhi ndipo hakuziona pesa zake kwenye pochi
Mm sikua najua hata kaja na hela hadi aliposema haoni pesa zake na kuangua kilio kizito sana
Jioni akaenda kwa mchungaji wa kanisa lao na kufanya maombi kuhusu jambo hilo, eti katika maombi hayo mchungaji akaoneshwa kuwa ni mm ndio nimechukua hizo pesa, usiku hatukulala aliongea usiku kucha tena sebuleni akipayuka kuwa nimrudishie hela zake la sivyo ndoa itaishia hapo na atanifungulia kesi, ni mwezi sasa tangu tukio hilo hatuongeleshani, hakuna tendo, usiku anakwenda kulala kwa watoto, ametoa ultimatum kuwa kama sijamrudishia pesa zake nisije nikamlaumu, nikamjibu sawa naisubiri hiyo ultimatum tuone,
Nimekataa vikao vyote vya usuluhishi kwa sababu ya maneno yake machafu, na nimeona ni udhalilishaji kwenda kujadili kuwa nimechukua hela pesa za mke wangu, kama hataki abebe vitu vyake aondoke, nimejiepusha kumpiga tangu mwanzo kwa kuzuia hasira zangu, lakini sasa inaenda kushindikana
Kuna yoyote kati yenu mwenye wazo jipya juu ya ufumbuzi wa mgogoro huu?
Maana nimeathirika kisaikolojia, watoto pia hawaelewi kwa nn mama analala room kwao, wameathirika pia, lakini zaidi ya yote nina mwezi mzima sijapata haki yangu ya msingi (matrimonial right) na sasa nimeanza kufikiria njia mbadala iwapo mgogoro huu utaendelea
Nahitaji mawazo yenu
Una akili kama zangu,natamani tungekuwa family friend.we achana nae kama hataki kusikiliza hata baada ya vikao vyote,
ataenda kwao huko atakaa halafu atarudi kukuomba msamaha mrudiane,
kumpa hela ni kukubali wewe ndie uliyechukua ukawa unatingisha kiberiti
mwanamke kuamini kua mume ndio kamuibia hela wakati mume huyohuyo ndio alimpa mtaji ni udhalilishaji mkubwa ambao nisingeuvumilia hata kidogo ningekua mimi
Kwi kwi kwi kwi!!! F@kiyu Ibilisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]She love me like a brother
But fucck me like a husband
Pussy like a oven
Too hot to put my tongue in
All I had to do is rub it
The genie out the bottle
Pussy so wet, I'ma need goggles
She tell me that it's mine
I tell her, "Stop lying."
Maamaaeee, mnyamaa lily waynee
I can imagine! mtu unayetegemea asimame upande wako anapokuwa on your contrary!me ndoa ingeisha tu kwa kweli...Hela Mkwe alisimamia kidedea zirejeshwe na faida na mume wangu alisema sorry lakini still sio siri nilikua very dissapointed in him na sikufichi kuanzia sikuile mpaka leo imani yangu kwake ndogo sana sema ndio mume huna jinsi lakini imeniuma
nani miaka mi3 sasa lakini nikikumbuka naona kama jana..
kutoa pesa hapo ni udhaifu mkubwa na ni kama umekubali kuwa umeiba wewe, anaweza akaja hata akaleta kisa kingine tena kwa kua amekuona dhaifuInaonekana mkeo anatafuta sababu tu....
Ili kuepusha shari na kudhalilishana mpe hiyo pesa (japo hujachukua) kisha mwambie afungashe virago vyake kimyakimya
mtani wachungaji tumebaki wachache...Hawa wachungaji wa siku hizi nao....!!!
Mchungaji mwenyewe ukimuona ni full magumashi na usanii hela ambazo wife ameshapeleka huko kanisani kama zaka na sadaka sasa hivi angekua na migahawa miwiliha haha basi we tulia tu mda ufike afanye maamuzi ila umpe neno moja tu kuwa maamuzi yake asije jutia milele...... haya makanisa wanaharibu kabisa huyo mchungaji hana hekima .. kuna gape kubwa kati ya mkeo na wewe ambapo huyo mchungaji ameshaambia kila kitu yeye anachofanya ni kugongelea msumari tu
nakubaliana na wewe...na aende tu kwa kweli ila kuna kitu...kwamba wakiona maisha ya jamaa yameanza kuimarika watakuja na hadithi....'mnaona ni zile hela alizomuibia mkewe'kutoa pesa hapo ni udhaifu mkubwa na ni kama umekubali kuwa umeiba wewe, anaweza akaja hata akaleta kisa kingine tena kwa kua amekuona dhaifu
hapo ni kumwacha aende tu nyumbani bila kumpa hata senti
Huyo mchungaji atakuwa anakula mzigo mke wakoMwezi mmoja uliopita wife alipata mkopo kutoka mahala fulani wa shilingi 6 million, lengo la mkopo huo ilikua ni kuimarisha biashara yake ya restaurant na kuipanua zaidi, mm ndie nilitoa mtaji wa hiyo restaurant wakati inaanza
Siku ya tukio alichukua pesa hizo benki na kuziweka kwenye pochi kubwa na kuanza kuzunguka nazo tangu asu ubuhi hadi jioni aliporudi, mm nilirudi usiku mwingi kutoka kwenye pombe na nilimkuta ameshalala nilihudumiwa na hg chakula nikaenda kulala, asubuhi ndipo hakuziona pesa zake kwenye pochi
Mm sikua najua hata kaja na hela hadi aliposema haoni pesa zake na kuangua kilio kizito sana
Jioni akaenda kwa mchungaji wa kanisa lao na kufanya maombi kuhusu jambo hilo, eti katika maombi hayo mchungaji akaoneshwa kuwa ni mm ndio nimechukua hizo pesa, usiku hatukulala aliongea usiku kucha tena sebuleni akipayuka kuwa nimrudishie hela zake la sivyo ndoa itaishia hapo na atanifungulia kesi, ni mwezi sasa tangu tukio hilo hatuongeleshani, hakuna tendo, usiku anakwenda kulala kwa watoto, ametoa ultimatum kuwa kama sijamrudishia pesa zake nisije nikamlaumu, nikamjibu sawa naisubiri hiyo ultimatum tuone,
Nimekataa vikao vyote vya usuluhishi kwa sababu ya maneno yake machafu, na nimeona ni udhalilishaji kwenda kujadili kuwa nimechukua hela pesa za mke wangu, kama hataki abebe vitu vyake aondoke, nimejiepusha kumpiga tangu mwanzo kwa kuzuia hasira zangu, lakini sasa inaenda kushindikana
Kuna yoyote kati yenu mwenye wazo jipya juu ya ufumbuzi wa mgogoro huu?
Maana nimeathirika kisaikolojia, watoto pia hawaelewi kwa nn mama analala room kwao, wameathirika pia, lakini zaidi ya yote nina mwezi mzima sijapata haki yangu ya msingi (matrimonial right) na sasa nimeanza kufikiria njia mbadala iwapo mgogoro huu utaendelea
Nahitaji mawazo yenu
Labda kama jamaa angekuwa hajui Ku scratch vizuri[emoji12]I can imagine! mtu unayetegemea asimame upande wako anapokuwa on your contrary!me ndoa ingeisha tu kwa kweli...
Bora afungashe bila kupewa hiyo hela, sikubaliani na wewe hata kidogo manake unaongea km huyo mchungaji tu.Inaonekana mkeo anatafuta sababu tu....
Ili kuepusha shari na kudhalilishana mpe hiyo pesa (japo hujachukua) kisha mwambie afungashe virago vyake kimyakimya