Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,747
- 12,463
sasa mji huu bila kuwa busy utaishi vipi mamii, kamua kwa uwezo!nipo mkuu kila siku sema nipo bize bize kidogo nashindwa kuchangia

Hahahaaaaa kweli mkuu maana hata nyie siku hizi hamhongi cha zaidi mnatuibia na tulizo nazosasa mji huu bila kuwa busy utaishi vipi mamii, kamua kwa uwezo!
Mkuu pole sana, Mimi ni mkristo lakin napata shida sana kwa wachungaji wa kisasa, wamevunja ndoa nyingi kwa nabii za uongo na wameleta migongano mingi katka jamii kwa nabii uchwara Mara ooh unalogwa na Jirani Mara kazin umetegewa na Leo umeleta kisa hiki.Mwezi mmoja uliopita wife alipata mkopo kutoka mahala fulani wa shilingi 6 million, lengo la mkopo huo ilikua ni kuimarisha biashara yake ya restaurant na kuipanua zaidi, mm ndie nilitoa mtaji wa hiyo restaurant wakati inaanza
Siku ya tukio alichukua pesa hizo benki na kuziweka kwenye pochi kubwa na kuanza kuzunguka nazo tangu asu ubuhi hadi jioni aliporudi, mm nilirudi usiku mwingi kutoka kwenye pombe na nilimkuta ameshalala nilihudumiwa na hg chakula nikaenda kulala, asubuhi ndipo hakuziona pesa zake kwenye pochi
Mm sikua najua hata kaja na hela hadi aliposema haoni pesa zake na kuangua kilio kizito sana
Jioni akaenda kwa mchungaji wa kanisa lao na kufanya maombi kuhusu jambo hilo, eti katika maombi hayo mchungaji akaoneshwa kuwa ni mm ndio nimechukua hizo pesa, usiku hatukulala aliongea usiku kucha tena sebuleni akipayuka kuwa nimrudishie hela zake la sivyo ndoa itaishia hapo na atanifungulia kesi, ni mwezi sasa tangu tukio hilo hatuongeleshani, hakuna tendo, usiku anakwenda kulala kwa watoto, ametoa ultimatum kuwa kama sijamrudishia pesa zake nisije nikamlaumu, nikamjibu sawa naisubiri hiyo ultimatum tuone,
Nimekataa vikao vyote vya usuluhishi kwa sababu ya maneno yake machafu, na nimeona ni udhalilishaji kwenda kujadili kuwa nimechukua hela pesa za mke wangu, kama hataki abebe vitu vyake aondoke, nimejiepusha kumpiga tangu mwanzo kwa kuzuia hasira zangu, lakini sasa inaenda kushindikana
Kuna yoyote kati yenu mwenye wazo jipya juu ya ufumbuzi wa mgogoro huu?
Maana nimeathirika kisaikolojia, watoto pia hawaelewi kwa nn mama analala room kwao, wameathirika pia, lakini zaidi ya yote nina mwezi mzima sijapata haki yangu ya msingi (matrimonial right) na sasa nimeanza kufikiria njia mbadala iwapo mgogoro huu utaendelea
Nahitaji mawazo yenu
teh, halafu nilitaka nikuombe outing moja whitesand w'end hii, si utanitoa eenh!Hahahaaaaa kweli mkuu maana hata nyie siku hizi hamhongi cha zaidi mnatuibia na tulizo nazo
yaani inatia hasira nachukia sana mtu anisingizie halafu unakuwa huna neno zaidi ya kusema si wewe hunaushahidi daaaaahinauma mbayaa kuambiwa umefanya kitu na hujafanya na husikilizwi ukijitetea... mkuu pole sana
aisss...vipi hebu malizia...walikuomba msamaha?!je hadi leo hawajakurudishia hiyo hela?Wallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..
Hela Mkwe alisimamia kidedea zirejeshwe na faida na mume wangu alisema sorry lakini still sio siri nilikua very dissapointed in him na sikufichi kuanzia sikuile mpaka leo imani yangu kwake ndogo sana sema ndio mume huna jinsi lakini imeniumaaisss...vipi hebu malizia...walikuomba msamaha?!je hadi leo hawajakurudishia hiyo hela?
Teh teh..Fake pastors wako wengi siku hizi aiseeHahah...huyu pastor mganga noma
amuulize na pastor Yesu anarudi lini
Mkwe wangu tunaelewana SANA na anajua katika wakwe zake 13 basi mie ndio kipenzi chake manake simchukui kama mkweDuuh inauma sana sometime,mtu anayetakiwa akutete ndio anakupiga vita bad enough ndio mwandani wako kweli maisha yanahitaji uvumilivu sana,me naamin hata kama wewe ndio ungekuwa umeiba he was suppose to stand with u first.so iliwezekanaje mama mkwe wako akaamini haujaiba na mtu unayelala naye kitanda kimoja akakutuhumu ?
Bado uko kwako? Au ulisharudi. Hope mume wako alikuwa hakuaminWallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..
Unamajanga VP umeshabeba ule ujauzito wa mume wa best yako.Wallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..
Alipofika home hakuangalia pochi alifika akaiweka tu akijua hela zimo hadi asubuhi alipostuka kutozionaaisee milioni sita ndefu aisee.. alivyofika home alikagua pesa akaziona au alifika na kumwaga lipochi hapo na kulala.. mkeo aangalie mazingira yote yawezekana ameibiwa huko bila yeye kujua sasa analeta mtafaruku nyumbani ......... halafu hawa wachungaji wasiotumia hekima ni wa kupuuzia kabisa...we kaa kimya fanya maisha yako mengine huo mda ukifika mwache afanye maamuzi labda anatafuta gia ya kujisepea......
Yote nayachukua kama mitihani na najitahidi kumuomba sana mwenyezi mungu niweze kuhimili,naamini mwenyezi mungu hakupi mtihani usioweza kuhimili...Unamajanga VP umeshabeba ule ujauzito wa mume wa best yako.
Mwezi mmoja uliopita wife alipata mkopo kutoka mahala fulani wa shilingi 6 million, lengo la mkopo huo ilikua ni kuimarisha biashara yake ya restaurant na kuipanua zaidi, mm ndie nilitoa mtaji wa hiyo restaurant wakati inaanza
Siku ya tukio alichukua pesa hizo benki na kuziweka kwenye pochi kubwa na kuanza kuzunguka nazo tangu asu ubuhi hadi jioni aliporudi, mm nilirudi usiku mwingi kutoka kwenye pombe na nilimkuta ameshalala nilihudumiwa na hg chakula nikaenda kulala, asubuhi ndipo hakuziona pesa zake kwenye pochi
Mm sikua najua hata kaja na hela hadi aliposema haoni pesa zake na kuangua kilio kizito sana
Jioni akaenda kwa mchungaji wa kanisa lao na kufanya maombi kuhusu jambo hilo, eti katika maombi hayo mchungaji akaoneshwa kuwa ni mm ndio nimechukua hizo pesa, usiku hatukulala aliongea usiku kucha tena sebuleni akipayuka kuwa nimrudishie hela zake la sivyo ndoa itaishia hapo na atanifungulia kesi, ni mwezi sasa tangu tukio hilo hatuongeleshani, hakuna tendo, usiku anakwenda kulala kwa watoto, ametoa ultimatum kuwa kama sijamrudishia pesa zake nisije nikamlaumu, nikamjibu sawa naisubiri hiyo ultimatum tuone,
Nimekataa vikao vyote vya usuluhishi kwa sababu ya maneno yake machafu, na nimeona ni udhalilishaji kwenda kujadili kuwa nimechukua hela pesa za mke wangu, kama hataki abebe vitu vyake aondoke, nimejiepusha kumpiga tangu mwanzo kwa kuzuia hasira zangu, lakini sasa inaenda kushindikana
Kuna yoyote kati yenu mwenye wazo jipya juu ya ufumbuzi wa mgogoro huu?
Maana nimeathirika kisaikolojia, watoto pia hawaelewi kwa nn mama analala room kwao, wameathirika pia, lakini zaidi ya yote nina mwezi mzima sijapata haki yangu ya msingi (matrimonial right) na sasa nimeanza kufikiria njia mbadala iwapo mgogoro huu utaendelea
Nahitaji mawazo yenu
ha haha basi we tulia tu mda ufike afanye maamuzi ila umpe neno moja tu kuwa maamuzi yake asije jutia milele...... haya makanisa wanaharibu kabisa huyo mchungaji hana hekima .. kuna gape kubwa kati ya mkeo na wewe ambapo huyo mchungaji ameshaambia kila kitu yeye anachofanya ni kugongelea msumari tuAlipofika home hakuangalia pochi alifika akaiweka tu akijua hela zimo hadi asubuhi alipostuka kutoziona
Kadai ni mm kwa kuwa mchungaji kaoneshwa na mungu kinabii