Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

Wallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..
Duuh pole sana mkuu,ni mtihani tu kati ya mitihani ya maisha.
 
Imenichoma sana big up dada.i wish ungetusimulia zaidi ikawaje kawaje
 
Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...halafu kuna hawa Wachungaji uchwara ni wa kuwa nao makini sana,na wanaowaamini sana hawa wanaojiita wachungaji ni wanawake.
 
Mwezi mmoja uliopita mke wangu alipata mkopo kutoka mahala fulani wa shilingi 6 million, lengo la mkopo huo ilikua ni kuimarisha biashara yake ya restaurant na kuipanua zaidi, mimi ndie nilitoa mtaji wa hiyo restaurant wakati inaanza.

Siku ya tukio alichukua pesa hizo benki na kuziweka kwenye pochi kubwa na kuanza kuzunguka nazo tangu asu ubuhi hadi jioni aliporudi, mimi nilirudi usiku mwingi kutoka kwenye pombe na nilimkuta ameshalala nilihudumiwa na hg chakula nikaenda kulala, asubuhi ndipo hakuziona pesa zake kwenye pochi.Mimi sikua najua hata kaja na hela hadi aliposema haoni pesa zake na kuangua kilio kizito sana.

Jioni akaenda kwa mchungaji wa kanisa lao na kufanya maombi kuhusu jambo hilo, eti katika maombi hayo mchungaji akaoneshwa kuwa ni mimi ndio nimechukua hizo pesa, usiku hatukulala aliongea usiku kucha tena sebuleni akipayuka kuwa nimrudishie hela zake la sivyo ndoa itaishia hapo na atanifungulia kesi, ni mwezi sasa tangu tukio hilo hatuongeleshani, hakuna tendo, usiku anakwenda kulala kwa watoto, ametoa ultimatum kuwa kama sijamrudishia pesa zake nisije nikamlaumu, nikamjibu sawa naisubiri hiyo ultimatum tuone,

Nimekataa vikao vyote vya usuluhishi kwa sababu ya maneno yake machafu, na nimeona ni udhalilishaji kwenda kujadili kuwa nimechukua hela pesa za mke wangu, kama hataki abebe vitu vyake aondoke, nimejiepusha kumpiga tangu mwanzo kwa kuzuia hasira zangu, lakini sasa inaenda kushindikana

Kuna yoyote kati yenu mwenye wazo jipya juu ya ufumbuzi wa mgogoro huu?

Maana nimeathirika kisaikolojia, watoto pia hawaelewi kwanini mama analala room kwao, wameathirika pia, lakini zaidi ya yote nina mwezi mzima sijapata haki yangu ya msingi (matrimonial right) na sasa nimeanza kufikiria njia mbadala iwapo mgogoro huu utaendelea.

Nahitaji mawazo yenu
Usimpe hela kama kweli hujachukua... my opinion ni kwamba wait for the ultimatum...

To me huyo hela anazo ila anatafuta sababu ya kuondoka nazo kwako ili akafanye yake
 
Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...halafu kuna hawa Wachungaji uchwara ni wa kuwa nao makini sana,na wanaowaamini sana hawa wanaojiita wachungaji ni wanawake.
Hivi mpiga ramli na huyo mchungaji kuna tofauti..??

Siku hizi wwchungaji na waganga wananyang'anyana sana waumini
 
Hivi mpiga ramli na huyo mchungaji kuna tofauti..??

Siku hizi wwchungaji na waganga wananyang'anyana sana waumini
Ni kweli kabisa mkuu...na ukishasikia mtu anajiita sijui Nabii mara Mtume na wengine mtume na nabii achana nao na ujue ni msaka tonge mkubwa huyo.

Nawaonea huruma wanawake coz ndio wanaodanganyika sana.
 
Tupa kuleTE="Analyse, post: 15543715, member: 201171"]Anaanzaje kumpa hizo hela?? Amuache aendelee kulala kwa watoto tu,akili ikitulia atarudi chumbani kwake.[/QUOTE]
Tupa kule
 
Back
Top Bottom