Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

Ila umesema hutaki vikao vya usuluhishi huenda ufumbuzi ungepatikana huko,je huu usuluhishi wa hapa Jf utaufanyia kazi?
Yap nitabeba mawazo ambayo naona ni constructive, pia kuja kwangu hapa ni kaona msimamo wangu kwenye sakata hili unaungwa mkono kiasi gani

Pia pengine kwa upande wangu nilitaka kuona makosa yangu ni yapi kupitia mawazo yenu
Ingawa huu hapa jf sio usuluhishi kiviile ni kutafuta mawazo mapya nna uhakika hata mwenzangu anatumia watu mbali mbali kumshauri mm sikuona haja hiyo maana watu kwa kawaida huwa ni wanafiki hivyo ni bora jf ambapo mtu hujulikani na unashauriwa na watu Mia nne wenye mawazo tofauti
 
Okey soma post yangu iliyofuata baada ya hii huenda ukapatapo japo kitu kidogo cha kukusogeza hatua moja mbele.
 
Asee hii ni hataree....ina maana wewe hukuchukua pesa zake?

Na kama alirudi ucku na hizo pesa zake na mnalala wawili chumbani ni nani kazichukua sasa?

NB: kama mkuu alivyonena hapo juu, mlipe ankara yake amani irudi ndani ya nyumba bana!...mambo mengine ya kujitakia.
Acha ujinga wewe atalipaje pesa ambayo hajachukua? Msidhulumu wala msidhulumiwe.
 
Mwezi mmoja uliopita mke wangu alipata mkopo kutoka mahala fulani wa shilingi 6 million, lengo la mkopo huo ilikua ni kuimarisha biashara yake ya restaurant na kuipanua zaidi, mimi ndie nilitoa mtaji wa hiyo restaurant wakati inaanza.

Siku ya tukio alichukua pesa hizo benki na kuziweka kwenye pochi kubwa na kuanza kuzunguka nazo tangu asu ubuhi hadi jioni aliporudi, mimi nilirudi usiku mwingi kutoka kwenye pombe na nilimkuta ameshalala nilihudumiwa na hg chakula nikaenda kulala, asubuhi ndipo hakuziona pesa zake kwenye pochi.Mimi sikua najua hata kaja na hela hadi aliposema haoni pesa zake na kuangua kilio kizito sana.

Jioni akaenda kwa mchungaji wa kanisa lao na kufanya maombi kuhusu jambo hilo, eti katika maombi hayo mchungaji akaoneshwa kuwa ni mimi ndio nimechukua hizo pesa, usiku hatukulala aliongea usiku kucha tena sebuleni akipayuka kuwa nimrudishie hela zake la sivyo ndoa itaishia hapo na atanifungulia kesi, ni mwezi sasa tangu tukio hilo hatuongeleshani, hakuna tendo, usiku anakwenda kulala kwa watoto, ametoa ultimatum kuwa kama sijamrudishia pesa zake nisije nikamlaumu, nikamjibu sawa naisubiri hiyo ultimatum tuone,

Nimekataa vikao vyote vya usuluhishi kwa sababu ya maneno yake machafu, na nimeona ni udhalilishaji kwenda kujadili kuwa nimechukua hela pesa za mke wangu, kama hataki abebe vitu vyake aondoke, nimejiepusha kumpiga tangu mwanzo kwa kuzuia hasira zangu, lakini sasa inaenda kushindikana

Kuna yoyote kati yenu mwenye wazo jipya juu ya ufumbuzi wa mgogoro huu?

Maana nimeathirika kisaikolojia, watoto pia hawaelewi kwanini mama analala room kwao, wameathirika pia, lakini zaidi ya yote nina mwezi mzima sijapata haki yangu ya msingi (matrimonial right) na sasa nimeanza kufikiria njia mbadala iwapo mgogoro huu utaendelea.

Nahitaji mawazo yenu
Kama kweli ana imini katka imani fulani atumie imani yake kumwibua huyo mwizi wa pesa zake
 
Wallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..
...Sorry kwa kutaka kujua. Kwa hiyo mkapeana talaka?
 
sasa mkuu ilikuaje tena ukaiba pesa za "my wife wako"...usiniambie kuwa shetani alikupitia
 
Dah, hii story ni very touchy!! Watu wamefunguka na kutoa somo kubwa sana.
 
Huyo mwanamke hawezi kumsingizia coz kasema alirudi na hiyo pesa usiku na mwanaume alirudi usku amelewa means walikuwa wawili chumbani!..asa we unahisi ni nani kaichukua?...Ni mtazamo wangu lakini mkuu.
kwahiyo yeye ataamini kama kulikuwa na hela au hujasoma vizuri, na kwanini asiweze kumsingizia, mtu kama amekuchoka anaweza fanya lolote, juzi mwanza mwanachuo kaitiwa mwizi kapigwa hadi kafa,
 
kwahiyo yeye ataamini kama kulikuwa na hela au hujasoma vizuri, na kwanini asiweze kumsingizia, mtu kama amekuchoka anaweza fanya lolote, juzi mwanza mwanachuo kaitiwa mwizi kapigwa hadi kafa,
hawa ndio walewale tu__ wa SAUT hawa watu wa jinsia ya KE hawa aminiki
...Sorry kwa kutaka kujua. Kwa hiyo mkapeana talaka?
 
Hapana si ushauri maridhawa
Kama hakuchukua kwa nini amlipe??
Mkuu hawa wanawake sometimes ni sumu...jamaa anaweza akaaibishwa tu kama mke amefikia hatua ya kumuamini mchungaji kuliko mmewe ni bora afanye hivyo kuepusha shari huku akiangalia ustaarabu mwingine
 
Huyo atakuwa anacheza dili na mchungaji, mchungaji katumia kigezo gan mpka kumwambia ww ndo umechukua? Kam mchungaji kweli ana reasonable dout! Aje aseme tofauti na hivyo mkeo kashakuchoka anatafuta pa kutokea. Cha kuambiwa changanya na chakwako.
 
Asee hii ni hataree....ina maana wewe hukuchukua pesa zake?

Na kama alirudi ucku na hizo pesa zake na mnalala wawili chumbani ni nani kazichukua sasa?

NB: kama mkuu alivyonena hapo juu, mlipe ankara yake amani irudi ndani ya nyumba bana!...mambo mengine ya kujitakia.
Huyo si mwanamke anatakiwa kutolipa chochote ikiwa hajachukua chochote kama vipi amruhusu aende kwao na ndoa kama itavunjwa na 6million basi ivunjwe.
 
Hakuna pahala niliposema karudi napesa in fact kagundua asubuhi kwamba hana pesa, alivyorudi hakuangalia pochi yake hadi asubuhi
Ndio maana asubuhi hakunituhumu mm, tulishauriana kwa pamoja uwezekano wa wapi kapoteza shida ni jioni alipokwenda kwa mchungaji na kuaminishwa kuwa mchungaji kaona maono
Hivyo msingi wa ushahidi wake ni maono ya mchungaji

Kama kweli angekiri aliziona hizo pesa ndani ya pochi aliporudi basi hata mm ningeshtuka sana huenda tuna majini ndani lakini anakiri mwenyewe hakuangalia pochi usiku
Hivyo possibility kaibiwa hajafika home
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri sana sasa, manake mwanzo ulisema alirudi usiku na nikahisi na hizo hela na ww uliziona usku!!?...kama ni habari ya kujishtukia asubuhi hana hela na hayo maono aliyompa mchungaji hilo ni balaa sasa..... Na itakuwa alipigwa huko huko alikokuwa....inakubidi uwe mwangalifu sana maana inaonekana yuko desperate sana.
 
Afadhali ulielewa maana ulimbana arudishe Mil.6 hewa mkuu
 
Acha uboya dogo, yani mkeo kakunyima K unakuja kuomba ushauri jf, labda kama huna hamu na hiyo K, otherwise mbake tu piga mbunye mpaka bujee. Kuhusu pesa ni kweli umechukua so mrudishie tu!
 
Acha uboya dogo, yani mkeo kakunyima K unakuja kuomba ushauri jf, labda kama huna hamu na hiyo K, otherwise mbake tu piga mbunye mpaka bujee. Kuhusu pesa ni kweli umechukua so mrudishie tu!
nguvu za bapa hizi CIO ww
 
Back
Top Bottom