Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Mambo mremboHahahaaaaa siku hizi sihongi Hahahaaaaa
Mambo mremboHahahaaaaa siku hizi sihongi Hahahaaaaa
Inauma shosti simuombei hata ADUI wangu limkute balaa hili khasa yule unaemtegemea aku bail out ndio anaekushindilia
mie my hubby alinambia wewe hutosheki hiyo pesa ulochukua si pesa ya watoto yakuchezea holiday unamuibia maskini wawatu hutosheki unashida gani nini nisokupa mpaka unaniaibisha namna hii? unaumasikini gani kwenu,nililia mpaka nikamshika miguu mume wangu umenioa hatuna kitu mimi ndio nnae fanya kazi leo hii nimekua mwizi? alinambia za mwizi 40 na leo imetimia hapo ndio mwanzo wa mimi kupata BP,hizi Ndoa we acha tuu mtu akikuona nje umependeza na unacheka anaona unashida gani? unaweza kuka kwenye gorofa uka wish ukae nyumba ya chumba kimoja lakini Happy...
amlipe avunje ndoa.Mmmmmhhh Bushoke!!
Endelea na maombi mwaya...MMMM shosti mie nasubiri na naomba mwenyezi mungu awakuze wanangu na anipe umri mrefu lakini nimeshaanza kuwapeleka nje kusoma nimebaki na hawa wadogo nao pia hawatokua namda ntawapeleka baada ntaomba tumalizane tuu
kiroho safi...
Sawa umeelewekaMie sikusema moja kwa moja sabab sikujui na yeye mke wako ndo anakufahamu Zaidi, alichofanya mke sawa ni utovu wa nidham lakini kwa nilisikiliza upande mmoja tu wako, ili kweka sawa upande wa pili lazima kuwepo akiba ya maneno kama vile, Kama kweli huna katabia chochote cha kumfanya akuhisi hivyo, basi chunguza iko namna, aidha anatafuta sabab tu, aidha kwa kukuchomoa pesa nyengien kijanja au yapo mengi nyuma ya pazia, cha msingi kuwa mpole na kama umeamua kutolipa hiyo pesa, basi simamia ndoa yako irudi kama zamani, mana hata mkiachana doa litabaki pale pale kuwa ulimuibia pesa kama alivyoeneza, pamoja nakuwa amefanya kitu cha ajabu kukuzushia kitu kama hicho cha aibu, mana wanawake wengi tunaamini aibu ya mume ndo aibu ya mke au ya familia sijuia aliwezaje kwenda kuongea huo utumbo nje...pole sana.
haupo ulevi ktk pesaJaribu kukumbuka labda ulivyolewa ulichukua ukaweka sehemu nyengine labda umesahau
MCHUNGAJI NI MUSEN....Alipofika home hakuangalia pochi alifika akaiweka tu akijua hela zimo hadi asubuhi alipostuka kutoziona
Kadai ni mm kwa kuwa mchungaji kaoneshwa na mungu kinabii
mumie huwez amin, wanawake huwa tunavumilia sana, yaani huyu dada alitukaniwa adi ukoo wao wote, mwanaume alidiriki kusema ameoa ukoo wa kimaskin ndo mana wamemtuma aje aibe kwao matajiri. mbona aliambiwa yeye ndo anayeleta umaskin kwenye familia ya mumewe?Inauma shosti simuombei hata ADUI wangu limkute balaa hili khasa yule unaemtegemea aku bail out ndio anaekushindilia
mie my hubby alinambia wewe hutosheki hiyo pesa ulochukua si pesa ya watoto yakuchezea holiday unamuibia maskini wawatu hutosheki unashida gani nini nisokupa mpaka unaniaibisha namna hii? unaumasikini gani kwenu,nililia mpaka nikamshika miguu mume wangu umenioa hatuna kitu mimi ndio nnae fanya kazi leo hii nimekua mwizi? alinambia za mwizi 40 na leo imetimia hapo ndio mwanzo wa mimi kupata BP,hizi Ndoa we acha tuu mtu akikuona nje umependeza na unacheka anaona unashida gani? unaweza kuka kwenye gorofa uka wish ukae nyumba ya chumba kimoja lakini Happy...
Hakuna pahala niliposema karudi napesa in fact kagundua asubuhi kwamba hana pesa, alivyorudi hakuangalia pochi yake hadi asubuhiHuyo mwanamke hawezi kumsingizia coz kasema alirudi na hiyo pesa usiku na mwanaume alirudi usku amelewa means walikuwa wawili chumbani!..asa we unahisi ni nani kaichukua?...Ni mtazamo wangu lakini mkuu.
amekwambia hajachukua amlipe vipi sasa
Wakati anaendelea kuomba na kujiandaa kumuacha kiroho safi kama alivyosema hapo juu na jamaa anaendelea kumega kiroho safi.Endelea na maombi mwaya...
Everything will be okay na huku ukitafuta kwa bidii hiyo amani na hasa baba watoto.
sikufichi nipo kwa ajili ya watoto na kuchukua haki yao sio kwa mapenzi kwa hali alioniweka simuamini hata kidogo,ilobaki basi tuu na anajua nimebadilika,ule ucheshi wa mwanzo kwake sina tena na i know inamla roho lakini let it be...
Shikamoo kidumeSawa umeeleweka
Sitaki kutumia neno amenizushia na pia nakwepa sana kusema anafanya makusudi au ku stage manage hii issue nzima
Nachoamini kimetokea hadi sasa ni hivi
Huyu aliibiwa au kupoteza hizo pesa town na wajanja kwa maelezo yake mwenyewe anasema amezunguka na hizo pesa kutwa mzima kwenye pochi na kukutana na watu mbali mbali siku hiyo hivyo naamini 100%pesa hizo hakua nazo by the time ana fika home, zilishachukuliwa
Kilichotakiwa sasa ni yy kuniamini mm mumuwe, na lazima niwe muwazi mwanzo aliniamini, na asubuhi hiyo tulijadili na kushauriana ni wapi huenda pesa itakua imepotelea
Shida ni jioni alipokwenda kwa pastor na kurudi na madai ya kuoteshwa na mungu maono ndipo nyumba ikavurugika
Hivyo siamini kwamba ana pretend naamini kaibiwa kweli na ndio maana ameumia sana akifikiria jinsi ya kurudisha mkopo, shida yake hakutaka kushirikiana na mm, in other words alishindwa ku li handle suala hili kama mtu mkomavu kwenye maisha
Tungekaa China tukajalidiana, OK pesa imeibiwa au kupoteza sasa tufanye nn au angeleta ombi kwangu la msaada wa million 6 nyingiine jambo hili lingeisha Muda, lakini kinyume chake amekosea ku deal nalo tangu mwanzo na sasa siwezi kukubali tena chochote akibaki Sawa akiondoka Sawa