Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

Wallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..
hii story imenigusa..kwa kweli hata mimi ni kufungasha tu...ila kwa vile ni mwanaumenineanza kulala nje au ningetafta tu namna....binadamu sisiyani acha tuu
 
Huyu mchungaji aliyeonyeshwa aliyechukua pesa huwa anapiga ramli?
 
Mm najua huyu mwanamke anamtafutia mwanaume visa ili NDOA ivunjike afanye yake!! jamaa kama atamlipa bora mwanaume avunje ndoa!! na hyu mchugaji kajuaje kama ndiyo yy jamaa kuchukua hela? wanawake wengine bhana
huyo ana sababu zake binafsi tu, kaenda kukopa hela bila taarifa mimi nitaamini vipi kama alikuwa na hela na pia akishindwa kurejesha vp, usikute kaweka nyumba au vitu vya ndani kama dhamana mtu wa hivyo sio mzuri kabisa, wa kuogopwa!
 
Kama uliwahi kumfanyia hiyo tabia siku za nyuma kuwa mpole umalize huo mgogoro kwa busara. Lakini vinginevyo itabidi ufikirie nje ya box. Hadi tukio linatokea ndoa yenu ilikuwa na hali gani.
Haiingii akilini mke akope pesa tena kwa ajili ya biashara uliyoifungua wewe bila kukutaarifu wala kuomba ushauri kwako then aje tu kukulaumu eti umeiba.
Mchungaji hana busara na huenda ndio kidudu mtu wa ndoa yako, coz hawa watumishi wa leo wanamjua wenyewe "mungu" aliyewatuma.
 
Mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Usimlipe na simama hivyo hivyo katika msimamo huo ili ajue kuwa wewe ndiye mumewe. Akitaka ndoa ivunjike usidhani ni matokeo ya hiyo pesa, hilo ni tokeo dogo tu ila kuna moshi ulikuwa ukifukuta ndani kwa muda mrefu pengine bila hata ya wewe kujua. Kaa na msimamo wako, ila chunga sana usije ukampiga.
 
mko wa3 kwanini akomae kuwa wewe ndo umechukua?
Rudi tena kwenye maelezo yangu ya awali uweze kuelewa vizuri
Mfano kama aliibiwa hajafika nyumbani? Kazunguka na hela kutwa mzima kwenye pochi kukutana na watu mbali mbali siku hiyo amefika home saa moja jioni anadai hakufungua tena kuangalia pesa hadi asubuhi

Vipi kama aliibiwa kwenye mizunguko yake?
 
Wallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..
Daaahh!! Aisee, hivi kwanza unaoaje/kuolewaje na mtu ambae unaweza kumuhisi kuwa ni mwizi? Story ya mleta mada na hii ya kwako zimenihuzunisha sana. Hizi ndoa hizi kwa kweli zina mambo!! NIMPENDENANI
 
Hiyo ndoa imeshapata jeraha au tayari Ina majeraha mengi.

Je ukiacha kumpa mtaji wa kuanzia uliendelea kumsapoti mkeo kwenye hiyo biashara?

Maana huenda akaamini umechukua ili kumkwamisha maana hutaki aendelee na shughuli hiyo.
 
Wallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..

Duuh inauma sana sometime,mtu anayetakiwa akutete ndio anakupiga vita bad enough ndio mwandani wako kweli maisha yanahitaji uvumilivu sana,me naamin hata kama wewe ndio ungekuwa umeiba he was suppose to stand with u first.so iliwezekanaje mama mkwe wako akaamini haujaiba na mtu unayelala naye kitanda kimoja akakutuhumu ?
 
Mtu aliyepaswa kuumaliza huo mgogoro kwa mara ya kwanza ni huyo pasta na ndiye mtu wa kwanza kuuwasha moto kuwa mkubwa zaidi...
 
Ndoa za siku hizi wanawake wana gubu sana usikute aliibiwa huko akajua anatafuta sababu ya kukusingizia ili usimbane pesa kapeleka wapi?
 
Asee hii ni hataree....ina maana wewe hukuchukua pesa zake?

Na kama alirudi ucku na hizo pesa zake na mnalala wawili chumbani ni nani kazichukua sasa?

NB: kama mkuu alivyonena hapo juu, mlipe ankara yake amani irudi ndani ya nyumba bana!...mambo mengine ya kujitakia.
Napenda sana watu wanaosoma maandishi kwa jicho la Tatu, ni wazi kuwa umesoma haraka haraka hivyo hukuelewa

Rudi kwenye bandiko urudie tena kusoma pale nilipoeleza hivi "alizunguka na pochi lenye hela hizo kutwa mzima" so most likely alifika home hana hizo pesa Bila yy kujua, hakuziangalia kama zipo hadi asubuhi ndipo akafungua aangalie na kukuta hazipo hivyo ni wazi amepoteza au kuibiwa huko alikotoka

Na amekua muwazi kwenye Hilo kuwa kiukweli hakuangalia tena pochi Lake alipofika hivyo akawa hana uhakika kama alikuja nazo au zilishaibiwa alikotoka

Msingi wake wa kudai ni mm unatokana na utabiri wa mchungaji, hadi sasa akiulizwa kuhusu ushahidi anasema mchungaji ameoteshwa kwenye maono
 
Back
Top Bottom