Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Hi Lunyungu***
Du yu min kwamba tHISday na kULIKONi ni ya gvt? Pliz elezea japo kidooogo au kama ni sensitive sana nitumie kwenye PM yangu tafzal.
 
Hasara,

Sorry lakini topic hii haina mantiki yoyote, vipindi vya redio vinabuniwa na wafanyakazi wa huko, Mengi is too high for those cheap talk.

FD
 
Mpiga kura,

magazeti yalianza rasmi mara tu baada ya mkutano kati ya Muungwana na RAM.
Wengi wa UWT (sio woote)waliomo pia humu ndio waandishi wa yale magazeti.

Wadanganyika danganyikeni kumfikiria Mengi.

FD
 
Wandugu wa JF,

Kwanza ama kwa kutofahamu ama kwa makusudi, au kwa kusukumwa na "nguvu wanayoijua" baadhi ya wachangiaji humu wanaonekana dhahiri kupotosha ama kupotoka kuhusu dhana nzima ya mfumo wa vyombo vya habari.

Kwanza kwa kumuita Mengi mhariri ama Mwandishi wa habari, ni upofu wa makusudi kwani naamini mtu mwenye taaluma ndogo tu ya kuweza kufungua kompyuta na kuandika atafahamu kwamba Mengi si mwandishi wala mhariri hivyo wanaosema hivyo si mawazo yao ila upotoshaji wa makusudi ambao haujengi wala kulisaidia Taifa wala ndugu zetu wanaohangaikia mlo wa siku moja mijini na vijijini. Upotoshaji huo ni wa sisi kupata hela ya kuweza kujiburudisha mijini. NI AIBU NA TUSIKUBALI KUTUMIWA. Ni kwanini watu wanazungumzia THISDAY na KULIKONI na si Nipashe, Guardian, na magazeti mengine ya IPP inayomilikiwa na Mengi? Jibu ni rahisi kuwa THISDAY na KULIKONI yanaanika na kuwaumbua wala RUSHWA waziwazi bila woga hivyo wala rushwa nao sasa wanajitutumua kujibu mapigo. Tuwe macho tusije kuonekana kwamba sasa tunatumiwa na hao wala rushwa. NI AIBU JF iwe mwiba kwa wala rushwa na mafisadi, isiwe uwanja wa kuwatetea na kuwashambulia wapiga filimbi. Mengi ingekuwa amri yake angeyafunga magazeti ya THISDAY na KULIKONI kwani yamemjengea maaduni wengi kuliko marafiki. Anashambuliwa kila kona kwa sababu ya magazeti hayo. Si NIpashe na Guardian kwa kuwa "waandishi na wahariri" wa magazeti hayo hawafuatilii habari za rushwa na si MENGI ambaye ni mmiliki tu.

Pili kusema THISDAY na KULIKONI ni ya JK na EL ama magazeto ya serikali, huku munasema Mengi ni mhariri, ni upofu mwingine wa makusudi. Hivi RAI na Mtanzania lililonunuliwa na Rostam (Mweka hazina wa CCM na Swahiba mkuu wa JK na EL) tutayaitaje? Hivi Uhuru la CCM na Habari Leo na Daily News ya serikali tutayaita ya nani? Tuache upofu na upotoshaji wa makusudi. NI AIBU mutaishushia hadhi JF.

MUNGU IBARIKI TANZAANIA, MUNGU WALAANI WALA RUSHWA NA MAFISADI. WAANGAMIZE MAFISADI NA MIZIZI PAMOJA NA VIBARAKA WAO. WASHINDWE KWA JINA LAKO BABA MUNGU
 
Hali Yako Kijana Wangu,lunyungu

Nimekusikia Unachokisema. Kwa Kuwa Nina Haraka Kidogo Nataka Kwenda Salimia Nyumba Zangu Na Pia Kupata Ugali Kama Kawaida Yetu Wasukuma. Ningependa Kukuambia Tu Kuwa Nitarudi Kukuandika Neno.....neno Ambalo Litakusaidia Japo Kuna Kitu Nahisi Haujakiweka Sawa.

Baadaye Wajukuuu Zangu Ndani Ya Jf.

Mimi Chief Mwanamasanja Wa Majebele
 
Majebele msanja sisi ni watu na tunajua unachokisema . Nasisitiza kwamba Magazeri ya This Day na Kulikoni nia ya JK na EL na yanafanay kiini macho . Hayawezi kumtaja mwana mtandao hata mara moja ila wale ambao ni threat kwa mtandao . Tuendelee
 
habari za mchana huu wajukuu zangu,

kijana naona sasa adabu imeanza potea. mbona umeanza na kunishambulia ikiwa hata hujui nini nataka sema.kwetu wewe ni bakora hadi kesho.

naomba sana vidole vyako viwe vinatoa yale ambayo unayafikiri kichwani na si yale unayoyaona. maana naona wewe ni katika ya wale ambao kwa hulka yao wameamua.............KUJIONGOPEA,NA KISHA WAKAAMINI KATIKA UO UONGO KUWA NI UKWELI NA BAADAYE WAKAWAPA WATU WENGINE.......'

sitaki kukukatalia kwamba hayo magazeti ni ya wakubwa hao wawili ila nataka kukuambia kwamba una vigezo gani? Kigezo kwamba wana mtandao hawasemwi si kweli. mbona tumeyasikia mengi yakisemwa . tatizo linawezekana hata huyo mengi mwenyewe anawaogopa hao watu au hakuna baya walilolifanya.

mie nina amini kwamba kama gazeti ni la ukweli ni la ukweli tu. mwanangu lunyungu naona haujielewi.hebu kaa chini na kufikiri vizuri.kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Mengi ni kibaraka wa hawa watu wawili?

basi kama ni hivyo nafikiri wazo la Mengi kugombea uraisi kupitia Chadema halina msingi. napenda kukumbusha na ukipata muda mkumbushe na Mnyika kwamba wawe makini na wanasiasa wa namna hii.

Mwanangu,wajukuu zangu, huu ndiyo utaratibu tunaokwenda nao!
 
RADIO ONE NA ''KIPINDI MPAKA KIELEWEKE''

Radio ONE imeanzisha kipindi cha ''MPAKA KIELEWEKE'' maneno haya utumiwa na mwenykiti wa CHADEMA Bw.Freeman Mbowe, kutikana na fununu tulizo zipata huko nyuma kuhusu bwana mengi na freeman inafikia wengi kuamini,
mahusiano kati ya watu hao,

muhwshimiwa mengi ana test kama kuna mtu atasema kitu hii ni kawaida yake anaanza na radio then TV. kipindi hicho kimeanza siku siyo nyingi,
wana CCM waanza kuwa na wasiwasi na Mengi na CHADEMA

nisawa na kuanzasha kipindi kinaitwa Ari Mpya, kasi mpya, na Nguvu Mpya. inamaana ni CCM 100%
JK angalia sana watu hawa...IS.SM.RM.FM.JB.Wana ibipu serikali yako na vyombo vyao vya habari wanavyo vianzisha kila siku.

MPASUKO WA KAMBI YA JK NA KAMBI YA EL BUNGENI

kumetokea mpasuko mkubwa kati ya kambi mbili zilizojitokeza kwenye kamati inayo chunguza mikakataba ya Richmond na Dowans,
maneno ya chini chini kutoka kwa wabunge inawezekana EL kuundiwa kamati ya kumchunguza kuhusu mwenendo wake mzima katika kazi za serikali,
mawazo ya wengi kama itatokea hivyo basi itabidi ajiuzulu.......
 
Its about time!

RM anaonyesha LEADERSHIP kiasi fulani na sasa anaona jinsi viongozi walivyo mafisadi wakati asilimia kubwa ya wananchi wanakufa kwa umasikini. Nafikiri huu ni muda muafaka kwa RM au FM. Kama wako tayari kusikiliza matatizo ya wananchi na kuyafanyia kazi, Natumaini 2010 uraisi wanao na kura yangu mmeipata.
 
Hasara,

Unaposema:-
JK angalia sana watu hawa...IS.SM.RM.FM.JB.Wana ibipu serikali yako na vyombo vyao vya habari wanavyo vianzisha kila siku.

Sikuelewi kabisa kwa sababu kipindi hiki kinawakilisha Watanzania walio wengi dhidi ya viongozi wabaya wanaotumia madaraka yao kuiteketeza serikali ya JK.
nadhani muhimu ni JK kuisikiliza hii redio na kufahamu hao wanaompiku yeye ndani ya chama chake kuliko Radio One ambayo inawaumbua.
 
RADIO ONE NA ''KIPINDI MPAKA KIELEWEKE''

Radio ONE imeanzisha kipindi cha ''MPAKA KIELEWEKE'' maneno haya utumiwa na mwenykiti wa CHADEMA Bw.Freeman Mbowe, kutikana na fununu tulizo zipata huko nyuma kuhusu bwana mengi na freeman inafikia wengi kuamini,
mahusiano kati ya watu hao,

muhwshimiwa mengi ana test kama kuna mtu atasema kitu hii ni kawaida yake anaanza na radio then TV. kipindi hicho kimeanza siku siyo nyingi,
wana CCM waanza kuwa na wasiwasi na Mengi na CHADEMA

nisawa na kuanzasha kipindi kinaitwa Ari Mpya, kasi mpya, na Nguvu Mpya. inamaana ni CCM 100%
JK angalia sana watu hawa...IS.SM.RM.FM.JB.Wana ibipu serikali yako na vyombo vyao vya habari wanavyo vianzisha kila siku.

MPASUKO WA KAMBI YA JK NA KAMBI YA EL BUNGENI

kumetokea mpasuko mkubwa kati ya kambi mbili zilizojitokeza kwenye kamati inayo chunguza mikakataba ya Richmond na Dowans,
maneno ya chini chini kutoka kwa wabunge inawezekana EL kuundiwa kamati ya kumchunguza kuhusu mwenendo wake mzima katika kazi za serikali,
mawazo ya wengi kama itatokea hivyo basi itabidi ajiuzulu.......




WEWE HUYO HUYO NDIYE JANA ULIEANDIKA HABARI NUSU NUSU HAPA:


http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=1704
 
IPP MEDIA

CONTINUES TO ACCUSE BRITSIH INVESTOR OF

CRIMINAL ACTIVITY IN TANZANIA


On Saturday 3rd February 2007, IPP Media, a high profile media organization in Tanzania, the Chief Executive Officer of which is Reginald Mengi, accused British Investor David Stewart Middleton of engaging in serious criminal activity in Tanzania. The Guardian Newspaper, IPP Media’s high profile English Newspaper stated as follows:-


Controversy as Hai Resident is hurt in an assault by armed gang
By Jackson Kimambo
PST, Moshi


A resident of Mili Sita in Hai District, Salim Habib (42) has been admitted to Mawenzi hospital reportedly after being assaulted by Employees of British citizen David Stewart Middleton. The Kilimanjaro Regional Police Commander, Luca Ng’oboko, confirmed that the incident occurred on January 31 and said that investigations into the incident were continuing. He said that the police were still investigating whether handcuffs belonged to the Police Force or the Prisons department. Talking to reporters from his hospital bed, Habibu said that he was still feeling sharp pains to his head, chest and body.

He said that at 5.00pm on the material day he was ambushed by a group of people who clubbed him and slashed his body with machetes. He said that he was at the time in the pasture belonging to his employee, Millie mengi. ‘I ran into the cow shed but the attackers followed me, saying that they were going to fix me’ Habibu said. Habibu claimed that he did not know why he was attacked by those workers. ‘I made a lot of noise as I cried for help. It was in vain’ he said. He said that as he was being assaulted, the British Investor was simply looking on and made no attempt to save my life’. Habibu said that soon after the assault was over, a guard at the investor’s property appeared and handcuffed him. ‘At the police station the police found it difficult to dislodge the chains until they simply opted to cut them off so that I could be sent to hospital’ he said. However, one of Mr. Middleton’s employees, Abel Ng’oja rejected claims that Habibu was assaulted but said that he had trespassed into their property.

When the Guardian contacted the Kilimanjaro Regional Police Commander, he denied claims that Habibu had been slashed with Pangas but had just been assaulted. ‘We are conducting investigations to establish the existence of criminal conduct. It is not right to assault a trespasser’ He said. The RPC said that a few suspects had been arrested in relation to the incident. However, he declined to give their names.

Similar articles were carried in IPP Media's The Nipashe Newspaper (below) and published internationally on the internet and, a public announcement was made over IPP’s Radio Channel, Radio.1.

Wanne wasakwa na polisi Moshi
2007-02-07 09:45:39
Na Jackson Kimambo, PST Moshi


Polisi mkoani Kilimanjaro, imesema inawasaka watuhumiwa wanne waliomshambulia kwa marungu na mapanga na kisha kumfunga pingu Bw. Salim Habibu (42) na kukimbia dhamana.

Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Bw. Lucas Ng?hoboko aliiambia PST kwa njia ya simu jana kuwa, washtakiwa hao walikuwa chini ya dhamana lakini walipotakiwa kufika mahakamani, hawakufika.

Aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Marcel Kavishe (29), Abel Edward (34), Edward Swai (56), mkazi wa Machame Nkuu na Swalehe Abdallah(29), mkazi wa Majengo, Mji Mpya, mjini Moshi.

Wote ni wafanyakazi wa shamba la Silvadale and Mbono Farm, lililoko Maili Sita wilayani Hai.

Uchunguzi wa PST, umebaini kuwa watuhumiwa hao walitakiwa kufikishwa mahakamani hapo juzi na walifunguliwa kesi ya jinai namba 47 ya mwaka 2007.

Hata hivyo, watuhumiwa hao hawakuweza kufika mahakamani kusomewa shtaka lao.

`Lazima tuwakamate na tuwafikishe mahakamani kwani tuliwaachia kwa dhamana lakini hawakutaka kufika mahakamani kwani Habibu alishambuliwa na watuhumiwa hao Januari 31, mwaka huu,` alisema Kamanda Ng?hoboko.

Akizungumza na waandishi wa habari katika wodi namba tatu ya wagonjwa majeruhi katika hospitali ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi, Bw. Habibu alidai kuwa hali yake kiafya bado ni mbaya, kwani anajisikia maumivu makali sehemu za kichwani, kifuani na sehemu za siri.

Akiwa amelazwa hospitalini hapo kwa siku ya saba sasa, alisema siku ya tukio hilo akiwa katika eneo lake la kazi, saa 5:00 asubuhi, alishangaa kuona kundi la watu ambao walianza kumshambulia kwa marungu, mapanga na kumpiga kwa mateke sehemu za siri.

Alidai kuwa, wakati huo alikuwa katika eneo la mifugo ya tajiri wake, Bi. Millie Mengi na alipoona anazidi kushambuliwa, alikimbilia kwenye zizi la mifugo hiyo lakini bado haikusaidia kwani alifuatwa huko na kushambuliwa zaidi na watu hao.

Hata hivyo, Bw. Habibu alisema yeye hadi kufikia kushambuliwa na watu hao hakutambua kosa lake hali iliyomfanya kuanza kupiga kelele kuomba msaada bila mafanikio.

Alidai kuwa, baada ya kupigwa, alifungwa pingu na kisha kutakiwa kwenda katika kituo cha polisi kilichopo mjini Moshi na kwamba hata alipofika kituo hapo, pingu hizo ziligoma kufunguka kwa zaidi ya saa kadhaa ambapo walilazimika kuzikata ili aweze kwenda hospitalini kutibiwa.
• SOURCE: NIPASHE


Mr. Middleton states as follows:-

“On the 31st January Mr. Salim Habibu, an employee of Mr. & Mrs. Benjamin Mengi was found on my property having deliberately driven a herd of some forty adult cattle belonging to his wife Mrs Millie Mengi, into a two acre Baby Corn plot grown for export to the U.K. The crop was destroyed. This man had been forbidden from entering my farm on four previous occasions. When approached by my staff the man threatened to kill my Technical Manager Able Ngoja and came at him wielding a Machete. Salim refused to remove the cattle from the field and was arrested by my staff in full compliance with the laws of Tanzania. The police were called five but failed to attend. Inspector Janet from the Moshi Police attended four hours after the first report with Mr. Benjamin Mengi. Salim was handed over to Inspector Janet and was considered to be under arrest in accordance with the Criminal Procedure Act 1985. It now appears, that Inspector Janet released Habibu from lawful police custody and he was allowed to go immediately to the District Police Station at Moshi and open a charge against my staff”

Mr. Middleton further states, ‘after handing Habibu over to the police, all of my staff attended Moshi police station to give witness statements in relation to Salim’s conduct on the farm. Having completed their statements, they were then told by Inspector Janet that no report of an offence had been received by them and that the statements they had given were statements in relation to an allegation by Habibu against them. Subsequently, Habibu’s son, was arrested for causing the damage to my crops, a man that was not present at the scene and against who I or my staff have made no charges. Clearly, by this action the lawful arrest of Salim Habibu by my staff is rendered unlawful’.

Speaking on the allegations against his staff Mr. Middleton states, ‘Three days after my staff co-operated with the police by supplying witness statements, they were instructed to attend Moshi Police station. They were told that they had been arrested and charged with offences of Grievous Bodily Harm against Habibu and must attend the police station immediately and be taken directly to Moshi Court of Resident Magistrate. None of my staff have been arrested, charged or cautioned in relation to any criminal offence. No warrant of arrest was issued for the arrests of any of my staff. They did therefore have a right to liberty’.

IPP Media’s the Nipahse Newspaper, carried a further article on 7th February stating reports from the RPC in Moshi that four of Mr. Middleton’s staff had been arrested, charged and bonded to go before the magistrates court to answer charges and that they had now absconded. The article further states that the RPC will make every effort to secure their arrest. Mr. Middleton states, ‘this does not reflect the realities of this incident’.

Commenting on IPP media’s publications Mr. Middleton states ‘ IPP Media continually prints damnatory material against me accusing me of criminal activities in Tanzania. It is always unsubstantiated and, couched in a language of unqualified accusation of guilt with no right of reply given. If Tanzania wishes to condone this type of journalism then it is their loss and says more about IPP Media than it does about me. There is an old and wise saying, ‘sticks and stones may break my bones but words will never hurt me’.

Few people who read the newspapers would be unaware of the media attacks since November 2005 against British investor Mr. Stewart Middleton by high profile English and Swahili newspapers owned by IPP Media. Readers are referred particularly but not exclusively to the following newspaper articles:- The Guardian 23/11/2005, The Nipashe 3/1/2006, The Guardian 19/1/2006, The Mwananchi 22/11/2005, The Nipashe 22/11/2005, The Guardian, 23/11/2005, The Nipashe, 2/2/2006, The Alhamisi 19/1/2006 and the Guardian 19/1/ 2006.

All of the articles accuse Mr. Middleton of acts of dishonesty and theft and of breach of court orders in particular, his attempts to defraud Moshi Hotelier Benjamin Mengi, Reginald Mengi's brother. What the articles have never stated is that Mr. Middleton or his staff has never been tried for any crime in Tanzania.

Readers are referred to the following for further information:-

http://archive.wn.com/2006/10/11/1400/litigationuk/

http://www.onlypunjab.com/investments/fullstory-insight-investments+stocks-newsID-3988.html

http://www.prweb.com/releases/2006/9/prweb427644.htm

http://www.prweb.com/releases/2006/8/prweb427377.htm

http://www.mylaws.org/legal-news/745

Paul Harple
Freelance Press
8/2/2007
 
Na bado anaendelea kutuletea vitu nusu nusu. Mwe!

heshima mkuu, ninajua kama ulivyo andika bila furaha mimi nitakuwa nina andika kile kitu ambacho hakiwezi kufutwa vya kukopi kwenye magazeti mpaka kitoke kwenye RAI,MAJIRA ,MWANANCHI,na mengine basi nitaweka huku full story nikiwahi kabla wezangu awajaweka,

pia nitakuwa nina toa HEADLINES tu huyu admin ameshakula pesa za watu hapa ukimwandika mtu hapa stori ya kweli haikai inaondolewa maadmin hawalali hapa wanalipwa kutoa stori za vigogo. kwamfano mwandike Mengi

Andika hapa kitu ambacho hakipo kwenye gazeti uone kama kitalala hapa. tuna jua hii JF ni ajira kwa maadmin. au utaambiwa kimehamishwa,
samahani kama nimewakwaza sihami hapa JF kwasababu akuna FORUM kama hii hizo nyingine bado zina jikongoja, hii forum ni kubwa kwa nchi yetu inawanyima viongozi usingizi.
 
Hasira,
Wewe mwaga vitu tu. Hii forum kiboko. Kama unazo facts tutakukingia kifua.
 
Tunajua wewe Hasara ccm lazima utakua na nyeti za ndani ya chama lako bovu Hasara...
 
Hasara,
Hivi unakumbuka speech ya JK Nyerere, alipoulizwa kama cku moja ataweza kuiacha CCM, yeye akakiri CCM sio Mama yake? Je, Mengi ni nani hadi Jk (MUUNGWANA) aache kutekeleza wajibu wake apoteze muda kumfikiria?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom