Hivi Gazeti La This Day Ni La Nani?
(What are the other costs?)Quality Group's tax obligations in the deal are understood to have included capital gains tax, which is 10 per cent of the selling price minus adjusted costs such as depreciation and other costs.
According to the government official, the initial 10 per cent capital gains tax estimate on the transaction amounted to 4.75bn/-, but the figure was lowered to 1.3bn/- after adjusting for depreciation and other costs.
''When Manji was initially confronted by TRA officials over payment of the due taxes, he did not cooperate and even refused to pay. He only obliged after being served with a distress warrant sometime last year,'' explained another source.
In this deal also concluded in 2004, Quality Group sold its Quality Plaza building along Nyerere Road in the city to PSPF for a whopping 36bn/-.
The two transactions concluded with NSSF and PSPF within a short time-span are understood to have earned the company a total of 83.5bn/-. However, TRA sources have since conclusively asserted that there were attempts in both cases to cheat the government on taxes.
Our government sources say Quality Group may have attempted to avoid paying taxes in the PSPF deal by selling 100 per cent of its shares in an offshoot company known as Quality Plaza Limited, so as to try and get around paying the 10 per cent capital gains tax by simply selling the buildings.
Hii ndiyo Tanzania , maana ku deal na Manji one has to be careful is like dealing with a State .
Hivi Manji ni kabila gani: just out of curiosity.
Najua kwa lugha kadhaa za Musoma, neno "manji" lina maana ya MAJI, je na yeye ni huko Musoma?
Ni Mswahili; tena wa pale Mzizima penyewe. Kazaliwa Ocean Road, na kuchezea cha ndimu kwenye mitaa ya Kichwele. Sio mtu wa kuja huyo!
Sishangai kuona THISDAY linamuongelea vibaya MANJI ! kwanini ? thisday ni gazeti kampuni ya ipp iliyo chini ya Reginald Mengi, na Mengi inafahamika sio tu ana kasoro na Manji bali na waislam wengi tu pale tanzania, ( sio kuleta udini ) na nadhani hii inafahamika na baadhi ya wazee mkoa wa dar-es-salaam. Kama kweli Mzee es, mzee wa dar basi nadhani atakuwa anajua hili, lakini pia vile vile Mengi ana kasoro na watu wa dini yake mwenyewe kutokana na kile kinachodhaniwa Kujipandikizia sifa mwenyewe binafsi kutokana na media yake.
Kada Mpinzani ndiyo Mengi ana mapungufu yake Na Kuna ukweli kwamba This Day Ni Gazeti lake lakini hili la UDINI Umempaka matope .Na ni ukweli usiopingika pia kwamba Mengi na Manji picha haziendi Lakini hili vile vile halizui magazeti yake kuandika ukweli kama upo ati kwa kuogopa kuonekana anamfuatafuata manji.Kama yaliyoandikwa na hilo Gazeti hayana ukweli tusianze kutafuta mmiliki wa Gazeti ni nani?Bali tuangalie Habari zilizoandikwa zina ukweli kiasi gani? Kama Habari zilizoandikwa na hilo Gazeti hazina ukweli Basi Manji anawajibu wa kuzitolea maelezo yaliyosahihi na asiishie hapo bali hata kuchukua hatua za kisheria ili kukomesha hilo lisirudie tena na huu ni ushauri wa bure kwa MANJI.Sishangai kuona THISDAY linamuongelea vibaya MANJI ! kwanini ? thisday ni gazeti kampuni ya ipp iliyo chini ya Reginald Mengi, na Mengi inafahamika sio tu ana kasoro na Manji bali na waislam wengi tu pale tanzania, ( sio kuleta udini ) na nadhani hii inafahamika na baadhi ya wazee mkoa wa dar-es-salaam. Kama kweli Mzee es, mzee wa dar basi nadhani atakuwa anajua hili, lakini pia vile vile Mengi ana kasoro na watu wa dini yake mwenyewe kutokana na kile kinachodhaniwa Kujipandikizia sifa mwenyewe binafsi kutokana na media yake.
.