Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,675
- 40,555
Kama magazeti ya ippmedia yaliandika habari za kweli kuhusu Quality Group na kama Quality Group wanaona kuwa habari zilizoandikwa na magazeti hayo ni za uongo na za kashfa kwanini Mengi anataka wakae chini wazungumze? Ni mgongano gani kati ya Watanzania wa rangi mbalimbali anaohofia Bw. Mengi? Hivi mgawanyiko kati ya Wahindi wa Weusi umeanza leo kwenye kisa cha mashirika hayo makubwa na kati ya watu hawa matajiri zaidi nchini?
Ni kitu gani ambacho hawakisemi???
Acheni mahakama iamue!!!!
Ni kitu gani ambacho hawakisemi???
Acheni mahakama iamue!!!!