Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Gagnija Mwalimu alikuwa na msimamo wa kupinga Mgombea binafsi na sisi ni Tanzania na katiba ina ruhusu .Je mwalimu ni Katiba ?
Alikuwa mna msimamo mkali binafsi kwa mawazo yake wakati ule .Sasa tunataa Mgombea binfsi hofu iko wapi ? Tanzania ni mabepari hata kuliko wazungu wenyewe ama hujui hili ?
 
Lunyungu,
Mwalimu si katiba, lakini nakumbuka mwaka 1995 pale mbeya aliilaumu serikali kwa
kuwanyima wananchi haki ya msingi ya kuwa na wagombea binafsi. Nashindwa kujua ni vipi tena alikuwa akipinga wagombea binafsi.
 
Waacheni watu waseme . Hapa kuna wanao jua sakata hili vyema . Kuficha ama kufuta haisaidii . Naupongeza uamuzi huu wa kurudisha hii thread . Safi sana .Sauti zetu wanyonge zimesikika . Hapa Mengi atatetewa na kupondwa . Mleta thread anaonekana kama yuko uchi mbele za umma uwanja wa Taifa . Tuendelee kukata issue hakuna kuogopa . Anaye tumiwa ataonekana maana wana JF si wajinga .



Hivi kweli Lunyungu unataka tujadili Mengi kuwataka wakina Kimaro, Massawe nk pale NSSF... Katika yote aliyoandika KOM lini ni fact zaidi ya upupu tu huo ulienea mitaani.
 
Duh!!!
Mambo haya .Ndiyo maana nilisema hawa wawezeshaji wa JF they had no reason to remove the thread and create chaos unnecessary . Iachwe watu wajimwage ife yenyewe hii ndiyo major point yangu .
 
Kiona mbali**Saluti kwako.

Nashkuru kwa kuonesha ujasiri wako katika kujaribu kuchomeka propaganda dhidi ya mengi-bila ya mafanikio.

Ningependa tu utambue ya kwamba wana JF tuko makini saana hasa katika mada zinazogusa siasa. Next time pliz be prepared don't just be errupting like......
 
Kiona Mbali,

Safi sana kwa kutumia demokrasia na kumwaga data zako. Mengi ingawa ana mabaya yake sidhani kama anataka kugombea urais.

Kwanza, angalia magazeti na vyombo vyake vya habari jinsi visivyo cover matukio ya upinzani.
Pili, alishasema wazi kuwa hataki kugombea urais,
Tatu, yupo sana business oriented na sio mwanasiasa, yaani yupo kama Mwapachu. (in my opinion mwapachu sio mwanasiasa ingawa sio mfanyabiashara)

Siku nyingine omba kidogo tukupe ka tuition ya kumchambua mtu bila wana forum kuona upo biased. Ninaanza kuamini umeingia na jina lingine ingawa sina uhakika. Kama ni kweli what a waste of time? NO WONDER TUPO KWENYE UMASIKINI HUU!!!!

fd
 
Kutokana na umuhimu wa issue hiii waabodi wengi wametaka kujua ukweli kuhusu matumizi ya pesa ya NSSF na investments wanazofanya. Zaidi y hayo kwa kuwa JAMBO FORUM ni kisiwa cha NGUVU YA HOJA kama ilivyokuwakatika issue ya BAE SYSTEMS basi nadhani huu ni wakati kuafaka kuweka mambo bayana JF style bila kuogopana na moja kati ya issue ambayo wana JF wanataka kujua ni hii inayomhusu mfanya biashara maarufu Tanzania Bwana Reginald Mengi ambaye wamefikishana Mahakamani na Mfanyabiashara mwenzie Bwana Yusuph Manji.

Hawa wafanyabiashara wamewaajiri watanzania wengi kwenye makampuni yao na sasa hivi kila mfanyakazi yuko tumbo joto ili kujua ukweli wa tuhuma za mabosi wao

Kutokana na interest ambazo wana bodi wameonyesha kuhusu hili suala nimeona bora tujadili FACTS kama ambavyo ziliwasilishwa mahakamani na utetezi wa pande zote tatu.


sasa maswali ya kujiuliza ni kama ifuatavyo:


Je ni nini chanzo cha huu ugomvi?

Je bwana Reginald Mengi anaonewa ?

Je NSSF wanahusika vipi na hili suala?

Je Gazeti la This Day kwanini nalo limefikishwa Mahakamani?

Je kama NSSF ni chombo cha Serikali mbona iko kimya kuhusu hili?

Je kuna ukweli au ushahidi wowote wa Rushwa au dhuluma?

Je NSSF wanaweka ripoti zao za makusanyo kwenye public domain?

Je kuna UDINI huko NSSF?

Je wafanyakazi wa NSSF wanamaoni gani kuhusu hii kesi

je ni kwa nini Mengi anafunguliwa keso mbili mbili ?

Je ni mahakana ina kulizuia gazeti la THIS DAY kuandika habari za kesi hiii?

Je huyu Manji alipendelewa kupata contracts huko NSSF?

Je kama kuna upendeleo, je upendeleo huo ulikuwa based on what?

Kama Manji alishida kihalali mbona maneno hayaishi mtaani?

Je Manji Katishiwa maisha? na kama kweli Polisi imechukua hatua gani?

Je bwana Mengi naye ametishiwa maisha? na kama kweli ppolisi wamechukua hatua zipi?



nadhani ni bora tuzungumze mambo based on information ambazo ziko kwenye PUBLIC DOMAIN yaani kuanzia NEWS QUOTES mpaka PRESS RELEASES na kama nilivyosema hapo awali humu ni NGUVU ZA HOJA tuuu
 
I am aware of the situation with the British Investors referred to in this article and I am fully aware of the tactics of Benjamin Mengi and Reginald Mengi in an attempt to steal Silverdale & Mbono Farms from the Middelton's. The conduct of the mengi's in this whole affair brings shame on all decent Tanzanians and there are many of them for sure.

Such a pity that in the light of President Kikwete's commitment to foreign investors and the rule of law in Tanzania that he feels unable to sort out the Mengi's no matter what the cost. Avoiding the issue is causing more damage to Tanzania than to openly admit what is going on in the Courts, with the Police and this vile manipulation by the mengis to corrupt and terrorise for personal gain.

The Middelon's are good people who are not fighting this battle for themselves but for all honest and decent human Tanzanians that deserve a better future. The government of Tanzania should APLAUD THEIR BRAVE EFFORTS TO FIGHT THIS VILE CORRUPTION BEING VENTED AGAINST THEM AND TREAT THEM LIKE WELCOME GUESTS IN THEIR COUNTRY INSTEAD OF SUBJECTING THE, DAILY TO THIS VILE ABUSE.

Please, all Tanzaians that value any sense of dignity and integrity, speak out against what is happening with this vile abuse of power and support what the Middletons are trying to do. If they fail, your country will surely be a less comfortable place to live in.

Elizabeth Lines
5th February 2007
 
Part 1


NSSF/PSPF SAGA: The real issues(Mengi and Manji Saga) Manji/Quality Group borrows from NSSF Shs 9.0 billion to build: Ubungo Godowns

Manji/Quality Group sells Ubungo Godowns to National Social Security Fund (NSSF) for Shs 47.5 billion within 2 months of negotiations.

Manji/Quality Group sells Quality Plaza to Public Service Pensions Fund (PSPF) for shs 36.0 billion.

TOTAL SALE PROCEEDS - Shs 83.5 billion

THE UNANSWERED QUESTIONS
What facilitated the approval of the loan of shillings 9.0 billion to NSSF within such a short period of time?

Has the loan of Shs 9.0 billion from NSSF been repaid by Quality Group?

How was it possible to conclude negotiations and the purchase of the godowns by NSSF within such a short period of two months and two weeks?

Was capital gains tax paid on the sale of Ubungo Godowns and Quality Plaza?

The first valuation of the Ubungo godowns is said to have been done by the University College of Lands and Architectural Studies (UCLAS). Who engaged UCLAS, and is there a contract for this engagement?

Has ownership of the buildings been transferred to NSSF and PSPF?

Quality Group occupies space in the Ubungo Godowns and Quality Plaza. What percentage of the built up area is it occupying in each building respectively?

What is the rent payable by Quality Group for occupation in the Ubungo Godowns and Quality Plaza respectively and is the rent paid to-date?

How much rent has been received by NSSF and PSPF since the acquisition of the properties?

What is the cost of running and maintaining the Ubungo Godowns and Quality Plaza, including management/consultancy fees?

Are the Ubungo Godowns and Quality Plaza insured? If in the affirmative, who is the insurer and at what value respectively?

Where are the proceeds of shillings 83.5 billion from the sale of Ubungo Godowns and Quality Plaza? Are they in the country of have they been repatriated?

NSSF and PSPF which are public financial institutions have explained their part in the purchase of Quality Group properties through the media. Whay did Manji and Quality Group decide to give its explanation in a court action?

The only thing THISDAY and KULIKONI can be accused of is their resolve to seek answers to these questions.

To call the Manji/Quality Group/NSSF/PSPF sale transactions a business quarrel or a personal wrangle between Mengi and Manji or a religious or racial conflict is a deliberate lie meant to divert attention from the real issues.

MPs query Manji`s love affair with NSSF, PSPF THE government yesterday faced critical questioning from Members of Parliament over the love affair between businessman Yusuf Manji and two of the country's biggest and wealthiest pensions funds -- the National Social Security Fund and the Public Service Pensions Fund.

Worried MPs questioned the minister responsible for pensions funds about the multi-billion-shilling
business deals between the CEO of Quality Group Limited and NSSF and PSPF.

Many of the concerns of the lawmakers centred on the questionable manner under which the pensions funds have routinely invested people's retirement benefits with Yusuf Manji.

Specifically, Mr Kabwe Zuberi Zitto (Kigoma North-Chadema), demanded answers from the government on the deals between the two pensions funds and Mr Manji.

Both NSSF and PSPF have bought assets from the Dar es Salaam businessman at highly questionable prices in separate deals worth a staggering 83.5bn/-.

Before the heated queries were answered, the Minister of State in the President's Office (Good Governance), Mr Juma Akukweti, stepped in to seek the Speaker's guidance in blocking further discussion on the matter.

The Speaker of the House, Mr Samuel Sitta, who pledged to run Parliament affairs with ''Standards and Speed,'' sustained Mr Akukweti's objections and ordered an immediate closure of the questioning on grounds that the matter was subject to ongoing court proceedings.

However, Mr Zitto had repeatedly tried to get his question across ? before he was forced to retreat after the Speaker's intervention.

Earlier, in a supplementary question, Dr Raphael Chegeni (Busega-CCM), demanded answers from the government on the economic viability of some of the investments of the pensions funds.

''What is the government's position on this whole matter that has no benefit to members of these
pensions funds and Tanzanians as a whole?'' He queried.

In his reply, the Deputy Minister for Labour, Employment and Youth Development, Mr Daniel
Nsanzugwanko, defended NSSF and dismissed widespread criticism against the pensions fund. He told Parliament during the morning question-and-answer session that NSSF was currently ''able to meet its obligations by 73 per cent.''

In his main question, Dr Chegeni had demanded answers from the government on what he termed as ''questionable investments'' of pensions funds.

He asked the government to explain whether or not it had any plans of establishing a regulatory authority to supervise activities of the funds to ensure they did not squander people's money.

The lawmaker also suggested the possibility of giving the Bank of Tanzania new mandate to supervise pensions funds, just as it currently does with commercial banks? to which the junior minister responded that efforts were underway to reform the country's social security
system and introduce new regulations to regulate the funds.

However, Dr Wilbrod Slaa (Karatu-Chadema), soon challenged the minister to explain why the pensions funds were giving loans to individual businessmen, instead of their members who are the working class of this country.

Even then, two other MPs -- Dr James Wanyancha (Serengeti-CCM) and Ahmed Shabiby (Gairo-CCM) -- demanded answers from the government on various aspects of the activities of pensions funds.

Mr Shabiby was particularly critical of the fact that members who contribute their money into the various pensions funds had no say in the way their retirement benefits are being invested.

He challenged the pensions funds to become more transparent in their revenues and expenditures,
particularly where they invest their money.

The government's anti-corruption watchdog -- the Prevention of Corruption Bureau (PCB) -- has been investigating circumstances behind NSSF's decision to buy warehouses from Quality Group Limited for 47.5bn/-.

Lawmakers have also raised questions over another deal between the same company and PSPF, which bought Quality Plaza from Manji's company for a staggering 36bn/-.

In what appears to be an emerging serial pattern in the activities of Quality Group Limited with the
pension funds, there are allegations that both the properties were grossly overvalued.

From just the two of the controversial deals with the pension funds, Mr Manji has made a cool 83.5bn/- from the retirement benefits of the working class.

UCLAS disowns valuation of NSSF`s Ubungo godowns THE University College of Lands and Architectural Studies (UCLAS) says it had nothing to do with the controversial valuation of the Ubungo godowns that NSSF bought from Quality Group Limited for a massive 47.5bn/-.

In the untangling of the mystery behind the controversial deal, UCLAS has now come out in the open to categorically dispute previous claims made by the NSSF management claiming that the valuation of the buildings was done by the college.

In widely-circulated paid advertisements issued in April, the NSSF management claimed that the valuation report on the godowns was prepared by UCLAS as an
institution.

''In accordance with the Valuation Report prepared by the University College of Lands and Architectural Studies (UCLAS), the Market Value of the buildings was stated at 48.9bn/-. On the other hand, valuation done by the Chief Government Valuer put the value of the buildings at
46bn/-,'' said the statement issued by NSSF.

It added: ''It is important to note that both UCLAS and the Chief Government Valuer are reputable
institutions with highly competent professionals.''

NSSF further maintained in its statement that ''after getting valuations from UCLAS and the Chief Government Valuer, NSSF and M/s Quality Group negotiated on the price and finally agreed on a price of 47.5/-bn.''

The assertions, which NSSF described as ''facts'' about the valuation of the building that led to the
purchase of the assets from the company run by businessman Yusuf Manji, have been shot down by UCLAS.

In a recent statement to THISDAY and its sister KULIKONI newspaper, UCLAS disowns the valuation of the godowns, saying it was not involved in the matter contrary to what NSSF claims.

''We wish to declare that UCLAS was not hired by NSSF or Quality Group to do that work,'' UCLAS said in the statement.

It underlined that there was ''no contract between UCLAS and either NSSF or Quality Group Ltd'' over the valuation of the godowns.

UCLAS revealed that the valuation was commissioned by Quality Group itself and was carried out by a lecturer with the college as a private consultant.

Critical questions have been raised on the manner in which the deal between Quality Group and NSSF was sealed.

The sale masterminded by businessman Yusuf Manji, which was one of the biggest investments made by a state-run enterprise, was negotiated and sealed in just two months.

On February 13, 2004, Quality Group sent a proposal to NSSF for the purchase of the godowns at an offered price of 50bn/-.

Instead of the buyer (NSSF) commissioning an independent valuation of the property to determine its actual value, it relied on a valuation report by a private consultant paid for by the seller (Quality Group) to determine the value of the godowns.

Using a valuation report commissioned by Quality Group itself and another suspect report allegedly from the Chief Government Valuer, NSSF agreed to buy the godowns for a staggering 47.5bn/-.

On April 29, 2004, based on recommendations from the NSSF management, the Board of Trustees approved the controversial deal.

The government's anti-corruption watchdog has been investigating the controversial deal, which was hurriedly concluded between Mr Manji's company and NSSF.
 
Part II
Corruption, fraud cited in valuation of NSSF godowns

THE University College of lands and Architectural
Studies said yesterday corruption and fraud likely
played a part in the suspect valuation of the Ubungo
godowns that NSSF bought from Quality Group Limited.

The UCLAS Deputy Principal, Prof Bituro Majani, told
THISDAY it was ''highly probable'' that there was
massive bribery involved in the deal and urged
government authorities to act swiftly and decisively.

Prof Majani who is the Deputy Principal responsible
for Planning, Finance and Administration at UCLAS said
there were obvious signs of corruption and forgery in
the controversial valuation.

''We (UCLAS) are not the police ... it's obvious that
crime was committed in this matter,'' he told THISDAY
in an interview.

He added: ''There are all signs of corruption and
fraud in this deal. UCLAS can't investigate corruption
cases, it's up to state organs to help us unearth this
crime.''

He insisted that the name of UCLAS was fraudulently
used in the valuation of the property -- which was
done by a private individual.

''As far as I'm concerned, there is no record in our
institution about the valuation of the property,'' he
declared. ''We don't have any contract with either
NSSF or Quality Group for the valuation of the
godowns.''

Prof Majani roundly criticized the valuation and
advised NSSF to officially commission UCLAS as an
institution to establish the actual value of its
property at Ubungo.

He said only a fresh valuation by UCLAS would clear
the air surrounding the deal in which NSSF paid
through the nose to buy the property.

The highly controversial deal, which was concluded
within just two months, saw the company run by
businessman Yusuf Manji earn a cool 47.5bn/- from
NSSF.

The NSSF management hurriedly bought the overvalued
godowns from Manji's company and has since been at
pains in trying to justify the financial viability of
the project. But our sources say the staggering cash
outflows have seriously depleted NSSF's liquid
financial resources.

In its press statements, NSSF falsely claimed that the
valuation of the godowns was carried out by UCLAS.
However, our investigations revealed that, in fact, it
was a private consultant hired by Manji's company who
carried out the valuation.

The management of NSSF surprisingly used the suspect
report commissioned by the seller to agree on the
buying price.

The government's anti-corruption watchdog -- the
Prevention of Corruption Bureau -- has been
investigating the circumstances that led to the
transaction between NSSF and Quality Group.

The same company is also behind a similar
controversial deal with another pensions scheme --
Public Service Pensions Fund (PSPF) ? that was duped
into buying Quality Plaza from Manji's company for an
astonishing 36bn/-.
 
Part III

The day NSSF went blind
PLAYING blind to better options, the National Social
Security Fund bought warehouses from Quality Group
Limited at a price tag three times what it could have
cost to buy nearby facilities, THISDAY can reveal.

On paper, NSSF bills the Hifadhi EPZ Business Park as
an ideal investment. But in reality, the controversial
deal burnt a huge hole in the finances of the pensions
fund, setting it back by a whopping 47.5bn/-.

Experts now say that the obvious -- and better --
investment option for NSSF would have been to buy the
Millennium Business Park located at the same Ubungo
industrial area. But instead of opting for the more
economically viable, and perhaps wiser, project that
would have cost three times less, NSSF officials chose
the overpriced warehouses bought from Yusuf Manji's
company.

Ironically, the government itself has been negotiating
with the owners of Millennium Park with a view to
buying the facilities at around 16.3bn/-.

Our investigations show that the Ministry of Industry
and Trade had advised the pensions fund to buy the
Millennium Park instead of the expensive godowns from
Quality Group. In fact, the ministry specifically told
NSSF that Manji's godowns were grossly overvalued and
less suited for EPZ activities compared to the cheaper
and more ideal Millennium Park facilities.

However, NSSF went against better judgment and
official government advice and bought the warehouses,
based on an outrageous price tag supported by suspect
valuation reports paid for and commissioned by the
seller -- Quality Group Ltd.

The former Minister for Industry and Trade, Dr Juma
Ngasongwa, told Parliament in his 2004/05 budget
proposals that the government intended to buy the
Millennium Park in order to encourage private
investment in Economic Processing Zones.

He hailed the facilities at Millennium Park as ''ideal
for the development of a vibrant Economic Processing
Zone (EPZ).''

Compare & contrast
Real estate agents told THISDAY that the value of the
property at Millennium Park was worth more than the
Hifadhi EPZ warehouses that NSSF bought from Quality
Group in a hurry. ''The Millennium Business Park has
15,000 more square metres of built-up area compared to
the Hifadhi EPZ Park ? it's absurd to say the NSSF
property (bought from Manji) is worth three times more
while the two facilities are essentially at the same
location,'' a real estate agent told THISDAY.

He added: ''Millennium Park is made of concrete
blocks, while the Hifadhi EPZ was constructed from
metal sheets and glass.''

Our investigations established that while the
Millenniun Park has about of 45,000 square meters of
built-up area, the warehouses NSSF bought from Quality
Group have just 30,000 square meters of built-up area.


On the other hand, the Hifadhi EPZ has parking
facilities for around 100 cars, while Millennium Park
has some 40,000 square meters of parking, roads and
landscaping. The Millennium Park also boasts of 36
showrooms of 144 square meters each and 68 units
ranging from 300 to 3,000 square meters suitable for
light industrial manufacturing, distribution, storage
and warehousing.

The NSSF facility comprises of seven warehouses, one
administration block, a canteen block and two ablution
blocks.

The University College of Lands and Architectural
Studies recently disowned claims by NSSF that the
university college had carried out a valuation of the
godowns it bought from Manji's company and approved
the 47.5bn/- price tag.

The UCLAS management and members of the academic
community declared that the valuation was carried out
by a private consultant and roundly criticised its
accuracy.

The UCLAS Deputy Principal, Prof Bituro Majani, told
THISDAY it was 'highly probable', that there was
massive bribery involved in the deal and urged
government authorities to take action.

The Prevention of Corruption Bureau (PCB) has been
investigating the controversial deal between NSSF and
Quality Group, which has stirred a lot of debate in
Parliament and among members of the public.

Quality Group is also behind a similar suspect deal
with the Public Service Pensions Fund (PSPF), which
was duped into buying Quality Plaza for an a
staggering 36bn/-.

Manji's company earned a cool 83.5bn/- from the two
deals with the pensions funds.

Govt compiles dossier on NSSF dubious deals with Quality Group
THE government has compiled a dossier on the role, if
any, of the Chief Government Valuer in the suspect
valuation of the overpriced warehouses in Ubungo that
NSSF purchased from Quality Group Limited.

A detailed report on the involvement of the Chief
Government Valuer in the matter now rests in the hands
of the Permanent Secretary in the Ministry of Lands,
Housing and Human Settlements Development, THISDAY can
reveal.

The current Chief Government Valuer, Mr Mathias
Longine Banzi, confirmed yesterday that he had sent a
report on the controversy over the valuation of the
godowns to the ministry's PS, Ms Salome Sijaona.

''I've submitted my report to the permanent secretary,
who is the spokesperson of our ministry,'' Mr. Banzi
told THISDAY, declining to reveal the details of his
report.

On her part, Ms Sijaona, who returned to Dar es Salaam
recently from a working trip to Dodoma, could not
immediately comment on the contents of the report.

''I am the only person who can speak on this matter.
Unfortunately, I've been away for the past two weeks
and have long meetings scheduled for today,'' she told
THISDAY at the ministry's headquarters in Dar es
Salaam.

Ms Sijaona promised to squeeze THISDAY to her busy
schedule today to discuss the controversial subject,
before she travels on official duty later in the day.

The suspect valuation of the godowns has been at the
centre of the decision by the National Social Security
Fund to buy the property from Quality Group Ltd for a
staggering 47.5bn/-.

The NSSF management has defended its decision,
claiming it agreed on the price based on valuation
reports prepared by the University College of Lands
and Architectural Studies (UCLAS) and the Chief
Government Valuer.

In a highly controversial move, NSSF used the suspect
valuation reports commissioned by the seller ? Quality
Group Ltd ? instead of carrying out its own
independent valuation of the assets before negotiating
the final price.

The cookies started to crumble for NSSF recently when
the UCLAS management disowned the valuation report,
saying it did not take any part in the exercise.
Furthermore, UCLAS has demanded a fresh valuation to
be done and cited the possibility of corruption and
fraud in the valuation.

Our investigations suggest that the involvement, if
any, of the Chief Government Valuer in the deal would
likely spring out a few more surprises.

In the deal, the NSSF management went against better
judgement and official government advice and bought
the warehouses, based on an outrageous price tag.

The architect of the project is the CEO of Quality
Group Ltd, businessman Yusuf Manji.

The Prevention of Corruption Bureau (PCB) has been
investigating circumstances behind the controversial
deal.

Manji's company is also behind a similar suspect deal
with the Public Service Pensions Fund (PSPF), which
was duped into buying Quality Plaza for a staggering
36bn/-.
 
Part IV---

Mumjue Manji ni mtu wa aina gani na hadi sasa hajafanywa lolote. Kwa taarifa tu ni kwamba sehemu kubwa ya sherehe za jana za CCM, Manji alishiriki maandalizi kwa kutumia fedha zake. Gharama za sherehe yote zimekadiriwa kuwa Sh milioni 300. Lakini pamoja naye wako wafanyabiashara wengine wakubwa waliochangia, ambao kati yao hata mmoja tu angeweza kugharamia sherehe nzima. Ukimuondoa yeye ambaye ana tuhuma na hivyo si msafi, waliobakia wote wana rekodi safi. HOJA NI KWANINI AKAHUSISHA NA AKAPEWA NAFASI YA PEKEE? Hivi Sh 300m/- za nini na je zinafanana na Bilioni 83 za wafanyakazi? Angalieni hii story ya mwaka jana ambayo ilitoka katika THISDAY na ikarudiwa katika Mwananchi ya hivi karibuni.


PCB, DPP seesaw on Manji

IT has now been confirmed that the Director of Public Prosecutions has received the file on Mr Yusuf Manji -- who may face criminal charges anytime from now.

THISDAY can reliably reveal that Mr Manji, who is the Chief Executive Officer of Quality Group Limited, is likely to face charges of fraud and conspiracy to loot billions of shillings from the Import Support scheme funded by the Japanese government.

The Prevention of Corruption Bureau is investigating Mr Manji and two other people, all of whose files have already been received by the DPP's office.

The DPP, Geofrey Shaidi, told THISDAY yesterday that PCB sent the files sometime last year, and that his office worked on it before handing it over to them.

''We have a case involving Mr Manji and two other people but the identities of these other two remain internal to us until we are ready to prosecute or clear them,'' Mr Shaidi said in an exclusive interview.

Our sources within PCB indicate that the files would be sent back to the DPP?s office ''any time this week'' for consent.

Informed sources told THISDAY that Mr Manji has been questioned in relation to the alleged scam, which also involves some prominent politicians and government officials.

Our investigation revealed that some of the money has been paid to fake companies that were formed deliberately to fraudulently receive the money from the scheme aimed to support upcoming Tanzanians traders.

Last month, the PCB directorate of community education confirmed in a written response to this paper that the matter has been sent to the DPP for his consent to prosecute.?

''Mr Manji was investigated and subsequently recorded a statement on the matter, although he appeared to be arrogant,'' said an impeccable source within PCB.

The source that was present during the interrogation said the businessman reacted angrily after he was left unattended for over 30 minutes as he was waiting for investigators.

Our investigation revealed that Tanzania Investment Bank which administered the scheme had received several cheques from Quality Group, signed by Mr Manji, paying the cash cover to some beneficiaries from import support funds.

''It's not a secret that Quality Group paid 35 per cent cash cover to some beneficiaries before the bank released the document to the Ministry of Finance, which then issued cheques to beneficiaries through Bank of Tokyo and the bank had no reasons to reject the money,'' said a reliable source from within the bank.

Contacted for confirmation, the head of credit at the Tanzania Investment Bank, Mr Salvatory Mushumbusi, once conceded that some of the beneficiaries of the funds had been given the cash cover by 'someone'.

However, he declined further details, saying doing so would breach banking professional ethics.

Investigations revealed that about 20 high-profile individuals, including Members of Parliament, have been left with huge debts after being duped into borrowing government funds they thought they would never have to repay.

It has come to light that Mr Manji forced the 20 or so individuals to sign contracts binding them to surrender to him a substantial part of the funds they received from the government just in return for the cash cover he provided for the release of the funds under the Commodity Import Support (CIS) scheme.

According to our investigations, Mr Manji sent cheques directly to the bank for payment of the cash cover in favour of each respective beneficiary. But before sending the money, he made sure all beneficiaries signed a contract binding them to surrender about 80 per cent of the money they will receive.

Every beneficiary of the funds was allocated with at least 10 million Japanese Yen (about 90m/-), but most of the money ended up in the pockets of the businessman.

Under the import support scheme, beneficiaries were supposed to provide 30 per cent of the requested funds. The import support funds were initially administered by the Ministry of Finance -- where it is believed the businessman looted tens of billions of shillings.

From September 2002, the government moved the funds to the Tanzania Investment Bank (TIB) for better
management but which has since been trying to recover the money from the debtors to no avail.
 
Mheshimiwa Halisi, duh, inabidi nitukle kidogo kusoma hiyo dossier. Ahsante sana.

Ahsante Dr WHO pia kwa kuiweka mada vizuri. Yaani hapo mzee basi, ndo umoderator huo tulikuwa tunakosa.
 
HASARA
naomba unipe source ya hiyo press release

ilitolewa na upande upi?
 
Mheshimiwa/Afande/Bwana/Mtukufu/Chief/Boss/Mhariri KIONAMBALI,
Nimekuita majina yote hayo hapo juu nikiwa na imani kwamba umewasilisha mawazo ya KUNDI la watu wanaofanana na hizo nyadhifa.

Kwanza nasikitika sana kwa wewe kutumia jina la mwenzetu Merehemu Kiona Mbali (Conrad Dustan) Mungu ampe nafuu huko aliko.

Nilichoona katika maelezo yako kwa kiasi kikubwa yanaakisi mawazo ya watu wanaotetea uhalifu na umechanganya hoja zote wanazozitumia ambazo naamini kwamba huziamini ila unaziwasilisha.

Hayo maneno hapo juu yanatoa majumuisho mazito juu ya huyu anayejiita kiona mbali. Asante Halisi.
 
JF fundi mitambo,

Samahani kama itakuwa ni udhaifu wangu, ilka nasikitika siioni ile Thread yenye swali hilo hapo juu
 
Kiona Mbali,
Nijuavyo mimi Mengi ni CCM dam dam. Hata kama wanatoka kumoja na Mbowe. Pia nijuavyo mimi Mbowe alimfuata Mengi kuomba mkopo/msaada wakati wa kampeni zake za 2005 Mengi alikataa. Sasa sijui huu ni urafiki wa aina gani.

NANI ALISEMA MENGI CCM DAMU? KAMA ANGEKUWA CCM SI ANGEMSHAWISHI FREEEMAN KUEGAMIA KWENYE UPANDE WAKE.

MIE NAOMBA NIWKE HII HOJA SAWA. KWA TAARIFA NILIZONAZO AMBAZO ZINATOKA UCHAGANI NI KWAMBA KWENYE KILE CHAMA CHA WATU WA MACHAME NI KWAMBA MENGI NDIYE KIONGOZI NA FREEMAN NI MUHASIBU AU KWA LUGHA SAFI BWANA FEDHA.

ISITOSHE WATU HAWA NI WATU WA KARIBU MAANA WALISHAFIKA HATA KUWA KAMA NDUGU. JAPO YAWEZEKANA WATU HAWA WAWILI KUWA TOFAUTI KATIKA SIASA LAKINI SIAMINI TUNAPOZUNGUMZIA KESI YA FREEMAN NA BWANA MENGI. KUTIA MSISITIZO NAFIKIRI SINTOSHANGAA KUSIKIA KWAMBA MENGI ALIMSAIDIA FREEMAN KIPINDI CHA UCHAGUZI NA KUWAACHA WAKINA JAKAYA.

PILI NI KWAMBA SIDHANI KAMA BWANA MENGI YUPO TAYARI KUFANYA HIVYO.CHADEMA NINAYOIJUA LEO NI YA WATU MAKINI WALIOTAYARI KU;LETA MAPINDUZI HAPA MJINI . SASA KAMA WAMETUFIKISHA HUKU KWA KWELI NASEMA ...HAWAFAI KABISA.

FREEMAN AU MNYIKA HEBU TUONGEE KATIKA HILI. NI WAPI MNATAKA IPELEKA HII TANZANIA YETU.KAMA MPANGO HUO ULIKUWAPO FIKIRIENI TENA!
 
Baada ya kusoma maelezo yako marefu maana hayana hoja ni maelezo mepesi nimehitimisha kwamba wewe si Kiona Mbali nali ni Kiona Karibu ama Mpika Majungu dhidi ya Mengi

Nimeshangaa umeweza kumtaja Mengi na kumnanga namna hii lakini umeacha kutaja majina kibao .Je unataka tukuamini kwamba una hoja ama hadithi za mitaani ?Hapa Mengi huwa anapigwa mawe sana lakini akiwa na jambo la kumpigia mawe.

KAKA LUNYUNGU NAOMBA KUKUELEZA KWAMBA NCHI YETU INAITWA TANZANIA NA KAA CHINI ANGALIA KUMBUKUMBU ZA MATUKIO AMBAYO YAMEWAHI KUTOKEA TOKA ENZI ZA MWALIMU HADI CHAGUZI ZILIZOPITA..........NAFIKIRI UTANIELEWA KWAMBA MAMBO MENGI YANAANZA KAMA SPECULATION THEN YANAKUWA KWELI.KUBWA ZAIDI NI KUMUULIZA KIONA MBALI KWAMBA YEYE ANAONAJE LAKINI SIO KWAMBA NI MAMBO YA MTAANI. LABDA NIKUKUMBUSHE, UNAKUMBUKA KWAMBA ILIWAHI RIPOTIWA KWAMBA JAKAYA ATAGOMBEA URAISI 2005 NA BAADAYE IKAWA KWELI, HUO NI MWAKA 2002 IMEDIATELY AU SIKU CHACHE KABLA YA MKUTANO MKUU WA CCM.

PILI NAOMBA TUONGEE VITU ACHA MAPENZI YAKO KWA WATU. WAMETAJWA WENGI SANA HUMU NDANI YA BLOG KUANZIA WATU BINAFSI WAFANYA BIASHARA HADI WEWE MWENYWE LAKINI NINI MENGI KAKA?

TULIA JIBU HOJA, RICHMOND KASHFA INA PAGE YAKE HAPA TUNAANGALIA ....'REGINALD MENGI NA MBIO ZA URAISI 2010'...KAMA UMETUELEWA USIPOTEZE UELEKEO WA TOPIC.

TUNAKUPENDA SANA.
 
Kijana G mbona tunaongea lugha moja ? Ama hujaelewa kitu ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom