Ukweli ni upi kama dunia inatawaliwa na uwongo

Ukweli ni upi kama dunia inatawaliwa na uwongo

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
734
Reaction score
1,218
Habari wana jamvi kwa miaka ya hivi karibuni takribani 3 nmekuwa nkifuatilia projects mbali mbali kuhusu hawa viumbe wa kigeni duniani yaani ALIENS

Nimekuwa nikofuatilia documentaries za historia za kale sana za civilizations mbali mbali kama mesopotania, maya, Egypt n.k mpaka india huko.

Nmefuatilia historia ya binadamu nje ya maandiko ya dini na kugundua ni tofauti na ile vitabu vya dini vinavyosema, nkafuatilia historia ya vitabu vya dini kama biblia nkaona imeandikwa 1966 na wanaotajwa kuwa mitume walipingwa ila wakaja kukubaliwa badae na roman empire ila kabla ya kukubaliwa ni walishakufa na vitabu vyao vilikuwa vimeeditiwa na maneno mengine yameongezwa na mengine kuondolewa kauli kazo. Yote chini ya mfalme constatine

Nmefuatilia juu ya asili ya mungu ni nani yuko wapi na n.k na kugundua mungu ni nguvu tu inayotuzunguka ipo kote hadi nje ya dunia na ndio sababu ya vyote vilivyopo na moto haupo ila ni dhana imewekwa ili kujenga hofu miongoni mwa watu ili wawe watiifu wa mamlaka za dunia hasa kwa wakati wa zamani chini ya roman empire

Nmekuja kujua malaika hawapo ila ni annunaki na ndio walioumba watu na nmeona hoja za enki na enli zinamashiko zaidi juu ya uimbaji wa wanadamu na nkizifananisha na stories za watu waliowahi kutekwa na hawa aliens na kurudishwa duniani pamoja na aliens waliowahi kukamatwa na kuhojiwa wote wanadai binadamu alitengenezwa na anunaki na hawa aliens walihusika na wengine wapo duniani kuangalia, kujifunza, kuwalinda binadamu na wengine kuwafundisha teknolojia n.k

Nkifuatilia maana ya maneno ya vitabu vya dini kwa kutoka kwenye asili yake kabisa original nagundua sio halisi mfano Elohim inamaana ya "walio na nguvu" yaani kundi la watu ambao wana nguvu sana ndio waliitwa elohim. Inamaana elohim sio mungu ni miungu

Nikisima vitabu vya dini kama kusoma gazeti nasona vinanileta kwenye ukweli kuwa viumbe zaidi ya kimoja vihusika kuumba mtu ila ukitumia tafsiri hii ya kawaida kama gazeti unaambiwa umekosea kutafsiri ila wingi uutafsiri umoja, sasa inakuwaje iandikwe wingi nitafsiri umoja na hoja inakuja utatu mtakatifu vipi wakati haujajatwa kwenye vitabu vyenyewe.

Story za anunaki na interview zinasema sisi homosapiens sapien ni toleo la 7 na yaliluwepo 6 nyuma na toleo la 6 ndilo liliishi na hawa miungu na tunaowaita malaika na waliondoka na vita zilkpigwa na moja wapo ni ile mpaka kimondo kikapiga dunia na kuharbu ecosystem na wale mijusi wakubwa kufa na ya pili maji hadi akapona nuhu n k

najiuliza hizi pyramids mbona historia yake iko kimya.

Nmesoma karibu yote ila nlichogundua mungu wa agano la kale anasemwa ana upendo ila mm mbona nlipna ni anaua tu, anaamuru vita, anawapa watu magonjwa, anawatesa kwa njaa wanalalamika anawapa nyoka, yaani ni mungu wa mauaji ya watoto, anataka sadaka ya damu wanyama wafe, hasamei dhambi na mkali ila wa agano jipya mpole, anasamehe dhambi, n.k ila kati ya agano jipya na kale kuna miaka imefichwa je kuna nini hiki kipindi, kwann miaka 18 ya huyu "yesu" haiongelewi je yeye hakukojoa kitandani?.. kwanini maandishi ya kale na interviee hizi kama ile ya EBE-3 wanasema hadi dhambi hakuna ni human constructs tu kuwajaza watu hofu watii mamlaka. Je ukweli ni upi

Hivi ukweli ni upi na uko wapi kwa sababu naona 90% ya contents zote za dunia ni uwongo hadi ndani ya dini ni utumwa na uwongo
Hivi vyote ni uwongo ila nachoamini ndo ukweli mana nmeifuatilia mwenyewe hadi nmejua.

Lbda anayetambua ukweli ni upi na unapatikana wapi naomba kujua

Hizi story za anunaki na sumrians n.k zinasema roho za binadamu hapa duniani zipo darasani tu na zikifaulu zinaenda kuishi kama mwanga milele na zingine hupewa majukumu tofauti tofauti na "council" na nkiangalia baadhi ya watu hutoa shuhuda kuwa walishawahi kuishi kwenye hii dunia kabla ya kuzaliwa na wanakumbu kumbu za zamani wengine walikuwa mwalimu, polisi, wawindaji n.k. kuna dhana nmeshakutana nayo kama vile jambo nalifanya ila ni kama linajirudia. Wengine wanaota wako sehemu tofauti kabisa ukiuliza madaktari wanakwambia ndoto za alinacha hizo ulikula sana ukashiba tena soda ya pepsi ndio uliharibu shibe ikawa kubwa ndo maana umeota uko mwezini.

Kuna hii telepath, yani kuongea kwa akili mfn alien wa 1949 aliwasiliana na yule doctor anayemuhoji kwa telepath (akili kwa akili) na video ilirecordiwa iko youtube anaitwa EBE-3 interview. Nmeiliza chatgpt inasema ni cinspiracy wkt hadi documents zilizoandikwa kwa mkono kwenye mtandao wa archive.org nlizipata kwa tabu sana na nkazisoma interview nzima

mimi naamini hakuna kizuri kinapatikana kirahisi vyote vizuri ni mpaka kuvitafuta na kuvipambania. Na vizuri hulindwa sana visiharibiwe. Kwanini ukweli wa dini uwe wazi wazi hadi vitabu vya dini viwe vya bure na elimu hii ya asili ya binadamu n.k iwe rahisi kiasi cha kusimuliana mitaani na polisi wasitumakate watufunge jela.
Je kuna siri gani kwenye ukweli uwongo
Hivi ukweli uko wapi na ni nini mama naona 90% ya taarifa duniani ni za uwongo hadi maandiko ya dini. Ukweli ni nini na unapatikana wapi

Je ukweli ni upi kama dunia inaongozwa kwa uwongo kwa 90%??
 
Mambo hayako vile tunavyo yadhania mkuu
 
Mkuu fanya marekebisho kidogo ili tuweze kujadili mada kwa ufasaha zaidi.
 
Mungu yupo juu mbinguni amechil, kwenye kiti chake kilichotukuka
 
Unataka bible iongelee Yesu akiwa anakojo kitandani, braza bna.

Binafsi mambo ya annunaki naona ni uongo tukuka kabisa, na mbaya zaidi ninyi huwa mnatumia maandiko ya biblia kuthibitisha hoja zenu na hapohapo tena unasema bible ni ya uongo!!

Vipi kuhusu dini/imani nyingine ukiondoa ukristo? Uislam, Ubudha, Uhindu nk umeshajongea mlengo huo na kuona nako kukoje ili kutia msumari hoja za annunaki??
 
Back
Top Bottom