Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Ofisi gani intampa hizo fomu, Kama anatumwa na K. Kikwete na wanamtandao aende chama chochote maana jumatatu fomu hapewi ofisi yoyote ya CCM, na ajiandae kweli kweli anaemtuma kachelewa angempa urais 2015, watu wa pwani walijiaminisha ccm washaimiliki sasa ndio basi na ccm hamtaikamata tena. Aanzishe vita bwege huyu tutamfuata huko aliko na AK47 tumevumilia sasa basi, ruhusa inachelewa sana, moto auwashe hio wiki ijayo. Hio corona ya Bibi zake.
 
FORM TUMEPRINT MOJA TU
HA HA HAAA, ANAENDA PHOTOCOPY KWA MKUU?
MAANA KUNA SOFT COPY MOJA IPO KWENYE FLASH DISK NA IPO SEHEMU SALAMA
 
Kutia nia siyo kupewa fomu bwashee.

Dr Slaa alitia nia 2015 lakini fomu alipewa mzee Lowassa!
Slaa alisema tu lkn hakwenda hata kwenye vyombo vya habari kutangaza maana hakua official yaan we hapo ulipo na mkeo useme tu nagombea UONGOZI VYOMBO VYA DOLA kisha useme nawe uhesabiwe
 
Membe ni dhaifu tangu wakati 2015 ni dhaifu na kama ccm wangempa angepigwa mapema sana akae atulie tena atulie sana
 
Back
Top Bottom