Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akihudhuria kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Chamwino Dodoma, leo hii Oktoba 28, 2022.

Kikao hicho kinaongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

28 Oktoba, 2022.

Chamwino, Dodoma

IMG-20221028-WA0036.jpg
 
kama mtu kutafuta tu UNEC anatumia zaidi ya ml 50 kuhonga wajumbe kuna nini hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom