Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,505
- 6,904
Imagine mtu amekufa afu raia wanakushtumu kuwa ww n mmoja wa msababishi wa hicho kifo, dah awe mpole tuu 😂Kama hapa shuzi linamnukia mke wa Pilipili, kumbe siku zake zilifika
Mwanaume akiwa na mume?Sema bibie soko litapungua, ujue mwanaume akiwa na mume ndo ananoga kuliko akiwa free..!!
Itabidi nimheshimu sana bibi yangu ana miaka 80'sImagine mtu amekufa afu raia wanakushtumu kuwa ww n mmoja wa msababishi wa hicho kifo, dah awe mpole tuu 😂
Hapana sijashiriki ila nimejipanga kushiriki kuuwa nyumbu hiyo tarehe 9, lazima niwasidie polisi kuuwa nyumbu wezi wanaoiba na kuharibu mali za watuNyoko zako wewe muuaji uliyeshiriki kuua watu
Au Na huyu tumuweke kwenye list ya waliouawa 29 October ila yeye alivumilia siku kadhaa ndipo amekufa leo? 😎Tar 9 walikufa mamia ya watu mbona
ova
TANZIA:Mmmh kweli hii?
😹😹😹 Huyu marehemu shabiki wa mbogamboga kanichanganya ni typing error..Mwanaume akiwa na mume?
Anyway, najua umemaanisha mwanamke akiwa na mume 😎
Naam, umri sahihi kabisa huo.Itabidi nimheshimu sana bibi yangu ana miaka 80's
Kwanza kifo chake n AI😹😹😹 Huyu marehemu shabiki wa mbogamboga kanichanganya ni typing error..
Hata hivyo kifo ni kifo waache taharuki
Itategemea kaondokaje!Naam, umri sahihi kabisa huo.
Bila shaka mshajiandaa namna gani mtakuwa akiondoka, sasa usije kuanza kulia kama vile umempoteza mtu wa miaka 30 😂
Pole mwayaaa 😭😭🥹nyiee